Lazaro Nyalandu akutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu Mzee Lowassa

Kuna maelfu hawana uhuru huo ,tukatae utamaduni wa kututenga.
 
f1f585b3314d11695c078ce5be224be0.jpg
7185dacc96192b7e4f99f459f42855bd.jpg
Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini CCM, Lazaro Nyalandu amemtembelea Mh. Edward Lowassa Ofisini kwake Mikocheni jijini Dar es salaam.
Kwa nini hajaweka picha ya Rais Magufuli? Ikitani
 
nyalandu+pic.jpg

Lowassa amemkaribisha Nyalandu upinzani akimtaka washirikiane kuhakikisha 2020 wanashinda Uchaguzi Mkuu.

my take
kwa hali hii naamini chama tawala hutolewa madalakani na watu wa chama tawala...so naona chadema ikulu 2020 kama kutakuwa na freedom ku vote na kuhesabu kura
 
Elly bna yani badala aweke picha ya Rais aliepo madarakani Sasa yeye anajiweka yeye tena ofisini
 
nyalandu+pic.jpg

Lowassa amemkaribisha Nyalandu upinzani akimtaka washirikiane kuhakikisha 2020 wanashinda Uchaguzi Mkuu.

my take
kwa hali hii naamini chama tawala hutolewa madalakani na watu wa chama tawala...so naona chadema ikulu 2020 kama kutakuwa na freedom ku vote na kuhesabu kura
Hao jamaa ndio wanaondoa chama tawala? Acha masihala

Why dont you use the weapon of mass destruction instead of shortguns?
 
nyalandu+pic.jpg

Lowassa amemkaribisha Nyalandu upinzani akimtaka washirikiane kuhakikisha 2020 wanashinda Uchaguzi Mkuu.

my take
kwa hali hii naamini chama tawala hutolewa madalakani na watu wa chama tawala...so naona chadema ikulu 2020 kama kutakuwa na freedom ku vote na kuhesabu kura
Chadema Asili. Pipooooooz

"Mafisadi Kwanza, Uzalendo & Chama Baadae"
 
Back
Top Bottom