Lazaro Nyalandu akutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu Mzee Lowassa

f1f585b3314d11695c078ce5be224be0.jpg
7185dacc96192b7e4f99f459f42855bd.jpg
Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini CCM, Lazaro Nyalandu amemtembelea Mh. Edward Lowassa Ofisini kwake Mikocheni jijini Dar es salaam.
Wewe umepata nini au taifa limepata nini baada ya kumtembelea mwizi mwenzake
 
Projections za Nyalandu inaonyesha zilikuwa ndefu sana ila kapotea. Sioni roho ya kupambana ya bwana huyu hata kama anajiona ni wa maana.

Lowassa naye aliondoka kwa mbwembwe huku akijua ikulu yake. Mwisho ameishia kwenye frame za maduka hapa ufipa.
 
Lowasa kweli sasa amechacha. Yaani mlango anafunga kwa waya? Duh.
Pole sana. Ile siyo waya wa kawaida. Ni electric wire ya kufungua mlando!!!! Ha ha ha ha ha. Pale huingii kama unaingia maliwato!!!! Ni mpaka switch ikuruhusu!!! Ungeangaza macho zidi kabla ya judging.
 
Pole sana. Ile siyo waya wa kawaida. Ni electric wire ya kufungua mlando!!!! Ha ha ha ha ha. Pale huingii kama unaingia maliwato!!!! Ni mpaka switch ikuruhusu!!! Ungeangaza macho zidi kabla ya judging.
Haya, endeleeni kutetea kila kitu.
 
Hawa ndio mafisadi waliotafuna nchi yetu na kutufikisha kwenye shimo la umaskini, sio maneno yangu bali ni maneno ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo....hizi siasa zitatufikisha pabaya, nido maana wanasema tuwe na akiba ya maneno, hata Magufuli mpondeni lakini sio sana, 2020 anaweza akahama timu sasa ukimchafua beyond repair....:rolleyes:
 
Back
Top Bottom