Mwanasheria/Wakili/learned Brother/shyster lawyer/So what!?
Mwanasheria/Wakili/learned Brother/shyster lawyer/So what!?
Kwa nini hajaweka picha ya Rais Magufuli? IkitaniAliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini CCM, Lazaro Nyalandu amemtembelea Mh. Edward Lowassa Ofisini kwake Mikocheni jijini Dar es salaam.
Kwetu wanakuja wenyewe kwenu mnawanunua
Swissme
Hao jamaa ndio wanaondoa chama tawala? Acha masihala
Lowassa amemkaribisha Nyalandu upinzani akimtaka washirikiane kuhakikisha 2020 wanashinda Uchaguzi Mkuu.
my take
kwa hali hii naamini chama tawala hutolewa madalakani na watu wa chama tawala...so naona chadema ikulu 2020 kama kutakuwa na freedom ku vote na kuhesabu kura
Chadema Asili. Pipooooooz

Hiyo ni sehemu ya kuchanja kadi. Yaanu hapo bila kadi huingii wala kutoka. Sio kama ofisi zenu za Patrice Lumumba mnaingia kama choo.Lowasa kweli sasa amechacha. Yaani mlango anafunga kwa waya? Duh.
“Birds of a feather flock together"Birds of the same feather fly together
Masisiemu mengi ni vipofu, yaana kukodoa kote huko umeona waya tu!?Lowasa kweli sasa amechacha. Yaani mlango anafunga kwa waya? Duh.