kuna Rafiki yangu kasajili simu kwa kitambulisho feki, maana wale wadada wa makampuni ya simu hawana muda wakukagua wala kuchunguza, wao wanataka photocopy ya kitambulisho bila kuuliza original, na jamaa alifoji ili kukwepa urasimu wa serikali za mitaa, maana hana kazi na line ya simu anaitaka.