Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

Aende tu salama hana madhara na hakuwa na faida yoyote kwenye chama.
 
Ni haki yake, japo the timing sio nzuri sana.
Mtu anakuwa mwanachama wa chama Fulani kwa
  1. Mapenzi
  2. Malengo
  3. Sera
  4. Itikadi
  5. Ufuasi
  6. Ushabiki
  7. Mipango mkakati
  8. Opportunities
  9. Mkumbo
  10. Ushawishi
Ukifika mahali ukajiona mapenzi yamepungua, malengo hayatatimia, sera hazieleweki, itikadi isiyoeleweka, uliowafuata hawana mpango, ushabiki uliokuwepo umepungua, hakuna mipango mkakati, hakuna tena hopes for opportunities, ushawishi na mkumbo vimekwisha, mtu hujikuta kujiamulia kujiondokea, au kwa kujiunga chama kingine, kurejea alikotoka, au kujipumzikia.

We wish him all the best.

Paskali

Mkuu Pascal Mayalla
upinzani ni kigumu sana na kunaitaji kujitolea kwelikweli na nilazima upotezi mengi.
huyu kujitoa kwake na kuhusisha na kampuni yake ya uwakili bila kusahau uongozi wake kwenye wanahisa wa Tanga cement.

nauwakika kabanwa sehemu na kaona bora apumzike na simtegemei kurudi CCM soon.
 
Chadema kupokea wahamaji toka CCM sio dhambi. Dhambi ni kuwapokea watu mliowaharibia mlo wao serikalini kwa kuwashitaki ndani ya bunge hadi kulazimika kujiuzuru na wengine kuachishwa uongozi na bosi wao. Hawa wana hatari ya kulipa kisasi, pokeeni makapi safi na mkiwapokea wasiwe muhimu kuliko makamanda wenu wafia chama. Sisi katika "Hotel Industry" tunaamini, "Chef" mzuri ni yule aliyeanza kazi kama "cleaner"
 
Huyu jamaa hana jipya,kwani wakati anajiunga chadema alijuwa kuwa ni chama chakumsifia rais?Asizinguwe,yeye alikuwa na asilimia miamoja kwamba lowasa atakuwa Rais,sasa imeshindikana anatamani kurudi ccm labda anaweza kupata uteuzi.Bro. siasa za upinzani kwasasa wanabaki wanaume tu wenye kukubali kukichangia fedha chama.Bro.umepoteza sana,upinzani hakuna hela bora urudi hukohuko ulikotoka.
 
Point namba 3 imemaliza kila kitu..... Kupinga kila kitu kama vichaa inanipa hofu sana kuhusu upinzani hasahasa chadema
 
Huyu ndo Chadema walikuwa wanawatukana CCM kwa Kumtema kweny Ubunge wa EA

Mbowe a jifunze kuacha kuamini Wanasiasa Mtumba

Tuliwaambia aliondoka CCM baada ya kukosa vyeo hawakuamini

Bunge lililazimishwa Mara mbili kumchagua Masha lakin lilakataa Leo Hii Masha hawaamini waliokuwa wanamuona anafaa!
Chadema anzeni kuamini Wanachama wazawa, tabia ya kuamua zaid Wahamiaji sio nzuri
Wako km dampo,hawachagui uchafu.
 
..kweli upinzani tz una safari ndefu..huyu Masha kaona mwenzake nyalandu wameanza kuandamwa kwenye fukua makaburi ya waliohama ccm...hivyo ameamua kukimbia chadema mapema...huku ni kuwa coward tu...huyu Masha ametafta madaraka amekosa....amegombea ubunge Africa mashariki wamemdunduliza...sasa chance pekee ameona ni kutafta namna ya kurudi ccm...ili nae ikiwezekana aanze kumsifia mkulu Na apewe madaraka hata ya ukuu wa mkoa kama kina Adam Malima... Hapa hakuna cha uzalendo wala nini..ni tumbo tu...namna ya kupata ulaji....nchi hii Ina mchwa wengi sana kwenye..siasa

Yes mkuu....reading him between the lines ameshaanza kumsifia magufuli.Hilo haliwezi kuwa ni kwa bahati mbaya na anajua anachokifanya Mr.Lau Kego.Kukubali kuwa n'gombe uliyekatwa mkia haiwezi kuwa rahisi bila mazungumzo yoyote ya ahadi flaniflani.

All in all kuna vitu vya msingi ameandika kuhusu chadema ingawa hata yeye mwenyewe anajua sivyo vilivvyomfanya ajiondoe huko na kwakweli karibia vyote vilikuwepo wakati akijiunga nayo.
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa chadema,kule ni kwa watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri,ndio maana huwapokea hata wale waliowatuhumu bila ya tatizo lolote.
Chadema hii ingekua ipo kwenye nchi kama uingereza saa hizi imeshakufa,hakuna mtu mwenye kujitambua anaweza kufuata chama cha kinafiki,wangeacha kijifie tu
 
Cha ajabu ni haki yake ya kikatiba na kidemokrasia Chadema matapeli wakubwa mnatapeli wazungu mnajiita chama cha demokrasia wakati hamuheshimu Uhuru wa MTU kujiunga na chama chochote kikiwemo Chadema na kuhama na kuhamia chama chochote. Chadema matapeli wakubwa wa kisiasa.

Ni haki yako kutoa maoni haya. Na ukiona hujaridhika na mawazo haya kampige risasi kiongozi yoyote wa cdm. Ila mimi nimefurahi sana Masha kuondoka na kama kina kitu ameacha huko arudishiwe haraka tunamtakia kila la heri kwani hakuwa na mchango wowote zaidi ya kuwinda cheo.

Namuomba sana awashawishi Lowassa na Sumaye warudi kwenye nyumba yao kwani huku cdm wanateseka na hawana mchango wowote. Yeye na wao wamezoea siasa za kubebwa na dola na hawana uwezo wa siasa za hoja na ushawishi. Tunaomba waondoke maana tunawaona kama mapandikizi tu.
 
Sio huyo tuu wapo wengi na masha hakua na ushawishi wowote... Yupo sumaye maana naye ushawishi ni Mdogo sanaaa.... Ifike mahala chama kitawaliwe na wanachama harisi na sio hawa hama hama.. Chama kiwe na watu ambao hawajawahi jiunga na chama kingine.....
Mfano
1.ccm imempa jina
2.imempa pesa
3.imempa vyeo
Kila kitu kapata hvyo nafsi inamsuta
Chadema itawaliwe na watu hawa
-Nyerere yeriko
-malisa
-yule kijana mmasai WA iringa olena...

Chadema inawatu wake na watu ndio hao wasio na chembe...

Naweza muamini kidogo bwana binamu bananga kweli anapambana chama kipate kitu sio yeye apate kitu...

Wana ccm nnao waamini walio hama toka ccm kuja ukawa
1.ester bulaya
2.binamu bananga
3.lowasa kidogo...
Futa neno UKAWA, au anza na neno "mareh.Ukawa,manake ilishakufa kitambooo
 
Back
Top Bottom