NGolo Kante
Member
- Feb 28, 2017
- 80
- 131
Kimenuka nini huko. Ama maslahi yamekosekana.Aliyewahi kuwa Waziri wa Mamboya Ndani, Lawrence Kego Masha atangaza Kujivua Uanachama wa CHADEMA
Unaficha maovu yake kwenye koti la mtukufu asifukuliwe
Bro kuwa mpinzani sio kitu cha spoti spoti..sasa ukiwa unategemea maslahi fulanikama ni kweli ajiandae kupokea matusi ya misukule wa DJ zero
hahahahah..waziri wa mambo ya ndani wa zamaniUtaanza kusikia, ameshamaliza kazi aliyotumwa!??
sijagusia upinzani kaka nimegusia wale watu, sio watu smart kama akina Mnyika walioamua kujikalia kimya siku ziende maana genge la majizi limeshika himaya pale Ufipa.Bro kuwa mpinzani sio kitu cha spoti spoti..sasa ukiwa unategemea maslahi fulani
opposition hapakufai
hahahahahahahahahha...safi sana..Kuwa upinzani sio kitu cha mchezo mchezo ati
Ukiona kina mbowe wanakomaa hadi leo ujue ni wababe haswa
unapenda sana kucheka bro.. sio tabia nzuri.hahahahah..waziri wa mambo ya ndani wa zamani
hakuna kazi yoyote...ameona heat ni kali upinzani
na hakuna maslahi yoyote