Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

Atakuwa kachukia matamshi ya kuudhi ya Mbowe na chadema ya kusimanga watu wa kanda ya ziwa kuwa wanapendelewa na Magufuli.yeye kama MTU wa kanda ya ziwa kaamua kuwabwagia lichama lao
hahahahahhahahahaha.Kwani uongo hapendelei...abwage manyanga..so far amefanya jambo jema..haki ya kikatiba
Good for him
 
Ni haki yake, japo the timing sio nzuri sana.
Mtu anakuwa mwanachama wa chama Fulani kwa
  1. Mapenzi
  2. Malengo
  3. Sera
  4. Itikadi
  5. Ufuasi
  6. Ushabiki
  7. Mipango mkakati
  8. Opportunities
  9. Mkumbo
  10. Ushawishi
Ukifika mahali ukajiona mapenzi yamepungua, malengo hayatatimia, sera hazieleweki, itikadi isiyoeleweka, uliowafuata hawana mpango, ushabiki uliokuwepo umepungua, hakuna mipango mkakati, hakuna tena hopes for opportunities, ushawishi na mkumbo vimekwisha, mtu hujikuta kujiamulia kujiondokea, au kwa kujiunga chama kingine, kurejea alikotoka, au kujipumzikia.

We wish him all the best.

Paskali
Unamaanisha nini Mkuu unaposema japo timing sio nzuri?
[emoji23 ]
 
Huyu ndo Chadema walikuwa wanawatukana CCM kwa Kumtema kweny Ubunge wa EA

Mbowe a jifunze kuacha kuamini Wanasiasa Mtumba

Tuliwaambia aliondoka CCM baada ya kukosa vyeo hawakuamini

Bunge lililazimishwa Mara mbili kumchagua Masha lakin lilakataa Leo Hii Masha hawaamini waliokuwa wanamuona anafaa!
Chadema anzeni kuamini Wanachama wazawa, tabia ya kuamua zaid Wahamiaji sio nzuri
 
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mamboya Ndani, Lawrence Kego Masha atangaza Kujivua Uanachama wa CHADEMA.

- Adai upinzani hauna nia ya kutafuta fursa ya kuunda Serikali

aende tu hakuna namna kwani kuwa mpinzani Tz kunahitaji kujikana nafsi sana.Ndo maana uvccm wanaumia Mbowe kuendelea kushikilia kiti,wanajua Kamanda ni mpinzani wa kweli,hana dau
 
Ni haki yake, japo the timing sio nzuri sana.
Mtu anakuwa mwanachama wa chama Fulani kwa
  1. Mapenzi
  2. Malengo
  3. Sera
  4. Itikadi
  5. Ufuasi
  6. Ushabiki
  7. Mipango mkakati
  8. Opportunities
  9. Mkumbo
  10. Ushawishi
Ukifika mahali ukajiona mapenzi yamepungua, malengo hayatatimia, sera hazieleweki, itikadi isiyoeleweka, uliowafuata hawana mpango, ushabiki uliokuwepo umepungua, hakuna mipango mkakati, hakuna tena hopes for opportunities, ushawishi na mkumbo vimekwisha, mtu hujikuta kujiamulia kujiondokea, au kwa kujiunga chama kingine, kurejea alikotoka, au kujipumzikia.

We wish him all the best.

Paskali
"japo timing sio nzuri"
 
Sio huyo tuu wapo wengi na masha hakua na ushawishi wowote... Yupo sumaye maana naye ushawishi ni Mdogo sanaaa.... Ifike mahala chama kitawaliwe na wanachama harisi na sio hawa hama hama.. Chama kiwe na watu ambao hawajawahi jiunga na chama kingine.....
Mfano
1.ccm imempa jina
2.imempa pesa
3.imempa vyeo
Kila kitu kapata hvyo nafsi inamsuta
Chadema itawaliwe na watu hawa
-Nyerere yeriko
-malisa
-yule kijana mmasai WA iringa olena...

Chadema inawatu wake na watu ndio hao wasio na chembe...

Naweza muamini kidogo bwana binamu bananga kweli anapambana chama kipate kitu sio yeye apate kitu...

Wana ccm nnao waamini walio hama toka ccm kuja ukawa
1.ester bulaya
2.binamu bananga
3.lowasa kidogo...
 
Back
Top Bottom