Lawama...

leo hujaingia deep nitakavyo ujue Ijumaa hii hunny bunny!!!

Ni kweli lakini na sie wakati mwingine tunakuwaga na gubu tu, kulalamika bila sabau ya msingi na kumpa karaha mwenzio!!! lakini ile ya 'deko' inalipa bana (tabu uwe na wako kama MJ1 na BHT vichwa ngumu)

mmh wakati wadekaji wakubwa kabisa ndo ninyi B! tamu hiyo......hyu anamdekea huyu, basi maishan yanakuwa sawa bin sawia!

unajua B, hata kukiwa na mahitaji lakini kukiwa na skills za kudeka, mbonma yatatimizwa tu fasta bila kuwa na feeling kwamba hizi ni lawama....umenisome eeh wa ukweli
 
hahahaha B,

Unajua 'kulalamika' kwa mahaba na mahanjumat bin 'Al-batar' ni tofauti na anayosema Mbu hapa.....

Mi nina bahati kubwa kweli sipati malalamiko ya ki ivyo, ila napata yale ya kiuhamasishaji B.....au nimeingia ndani sana sweetheart?
wewe mjanja sana!unachokitaka mimi nimeshakishtukia,na mbinu zako NIMESHAZIKAMATA..!HADANGANYIKI HUYO:D:D:D
 
mmh wakati wadekaji wakubwa kabisa ndo ninyi B! tamu hiyo......hyu anamdekea huyu, basi maishan yanakuwa sawa bin sawia!

unajua B, hata kukiwa na mahitaji lakini kukiwa na skills za kudeka, mbonma yatatimizwa tu fasta bila kuwa na feeling kwamba hizi ni lawama....umenisome eeh wa ukweli

umesomeka lakini umeshtukiwa pia!!!!
 
hahaaaaaaa Goeff weee ni furahi day....!!!!! baambie bakuelewe bana!!!!!
 
wewe mjanja sana!unachokitaka mimi nimeshakishtukia,na mbinu zako NIMESHAZIKAMATA..!HADANGANYIKI HUYO:D:D:D

tatizo mpwa unasoma from the right to the left!

ha ha ha comrade G kwa kusoma between the lines upo juu!!

meku, huyo amesoma saa hizi si tumeshafuta na ubao kabisa!

umesomeka lakini umeshtukiwa pia!!!!

too late B! tumeshayamaliza..si umeshanisoma....
 
leo hujaingia deep nitakavyo ujue Ijumaa hii hunny bunny!!!

Ni kweli lakini na sie wakati mwingine tunakuwaga na gubu tu, kulalamika bila sabau ya msingi na kumpa karaha mwenzio!!! lakini ile ya 'deko' inalipa bana (tabu uwe na wako kama MJ1 na BHT vichwa ngumu)

mmh wakati wadekaji wakubwa kabisa ndo ninyi B! tamu hiyo......hyu anamdekea huyu, basi maishan yanakuwa sawa bin sawia!

unajua B, hata kukiwa na mahitaji lakini kukiwa na skills za kudeka, mbonma yatatimizwa tu fasta bila kuwa na feeling kwamba hizi ni lawama....umenisome eeh wa ukweli

wewe mjanja sana!unachokitaka mimi nimeshakishtukia,na mbinu zako NIMESHAZIKAMATA..!HADANGANYIKI HUYO:D:D:D

ha ha ha comrade G kwa kusoma between the lines upo juu!!

umesomeka lakini umeshtukiwa pia!!!!

Leo kazi ipo ijumaa ina mambo hapa naona mnaona kama mida haiendi kivile.
 
Well naona una hoja ya msingi na ningependa kujifunza kitu hapa; kwa kuwa ninataka kujenga na kulinda relationship yangu nayaainiishaje haya malalamiko kwamba hili ni issue na hili ni kutaka attention labda tungejua hayo tutaelewa kuwa tuwahandle vipi mnapolalamika.........ladies tafadhali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom