Lawama ziende TISS?

Lawama ziende TISS?

Kati ya kundi ambalo latakiwa liwe mbele kujua mabaya ya Taasisi ni TISS, hawa walitakiwa wawe washajua vitu, wazuie, warekebishe.

Iweje Serikali ipate hasara na shirika la kijasusi lipo?

Kama halina nguvu, liongezewe nguvu.

TISS imejaa ukada
Tisa ilisha jivua majukumu ya msingi na kuwa walinzi wa madhambi ya viongozi.
 
Kati ya kundi ambalo latakiwa liwe mbele kujua mabaya ya Taasisi ni TISS, hawa walitakiwa wawe washajua vitu, wazuie, warekebishe.

Iweje Serikali ipate hasara na shirika la kijasusi lipo?

Kama halina nguvu, liongezewe nguvu.

TISS imejaa ukada
Acha Shobo za kijinga kwani ukishapres taarifa kinachofuata nini?

USSR
 
Iweje Mashirika yapate Hasara na TISS ipo?

Iweje Serikali ipate hasara kwenye mkataba wa kununua Mabehewa wakati TISS ipo, ilitakiwa ifanye kazi ya kujua kwanini Tender ndogo iachwe ichukuliwe kubwa
 
Kati ya kundi ambalo latakiwa liwe mbele kujua mabaya ya Taasisi ni TISS, hawa walitakiwa wawe washajua vitu, wazuie, warekebishe.

Iweje Serikali ipate hasara na shirika la kijasusi lipo?

Kama halina nguvu, liongezewe nguvu.

TISS imejaa ukada
Naskia kazi yao ni kukusanya na kutoa taatifa, kufanyiwa kazi au kuwekwa kabatini haiwahusu.
 
Tiss wamejana vijana wa CCM, badala ya watù wenye akili. Unategemea nini?
 
FBI imara ndio USA imara,TISS imara ndio Tanzania imara, shirika letu hili la kijasusi kuna sehemu lilichukua wrong turn, respect waliokua nayo imepotea na sasa wanaonekana wa kawaida tu, the way forward hapa tunahitaji katiba mpya ambayo itavifanya vyombo hivi viwajibike Bungeni na sio Magogoni au Lumumba street, CEOs wake watafanyiwa usaili na bunge na President hatakua na mamlaka ya kuwasimamisha au kuwafukuza kazi bila bunge kushirikishwa, pia katiba mpya itatupa taasisi itakayokuwa ina waratibu hawa Tiss kuona wanafanya kazi zao kisheria, pia police tutapata IPID ambao ni kama MPs wa Jeshi
 
Back
Top Bottom