Lawama ziende TISS?

Lawama ziende TISS?

Wakiajiliwa graduate wa fani ya uhasibu na uchumi watafaa zaidi kuliko hawa wataalam wa lugha na wana sociallogy.
Lijikite kwenye ulinzi uchumi zaidi kwa kufahamu biashara na impact zake kwenye uchumi.
Kwa hiyo TISS wote wamesoma sociology?

Kwanini ni lazima wasome sociology?

Hawa sociologists, wanakazi zipi kwenye jamii.
 
Hii theory Ni kwenye paper..
Kumbuka ukizingua kwenye siasa au ugaidi wanakusaka wanakuteka wanakupa kipigo au kukutoa uhai kabisa Tena Bila polisi kujua..
Hiyo ni kama upo nje ya system kama TAL tena unatishia maslahi ya mabosi zao, lakini madelu au marope wanaweza chukua hela hazina na wakatembea tu.
 
Hii theory Ni kwenye paper..
Kumbuka ukizingua kwenye siasa au ugaidi wanakusaka wanakuteka wanakupa kipigo au kukutoa uhai kabisa Tena Bila polisi kujua..
Ondoa hofu ndugu. TISS hawawezi kufanya hayo uliyosema. Ni waoga mno hao jamaa. Wanatabia kama za wakata mikaa au za makuri.
 
Wakiajiliwa graduate wa fani ya uhasibu na uchumi watafaa zaidi kuliko hawa wataalam wa lugha na wana sociallogy.
Lijikite kwenye ulinzi uchumi zaidi kwa kufahamu biashara na impact zake kwenye uchumi.
Yes , fani ya uhasibu ...lakini wawe wamesoma OB ( organization behavior)
 
Ni raisi tu kapenda tujue hayo sijui ana amaana gani maana angeamua tusijue angemzuia tu huyo CAG maana uwezo anao.
Labda ana lake jambo si bure...
Hata mimi nahisi mama ana lake jambo zuri ambalo wana CCM wafia chama wamekasirika sana mama kuwa muwazi mpaka kwenye ripoti ya CAG.

Mama anataka Watanzania waone jinsi nchi inavyotafunwa ili akili ije lakini Watanzania wapi, 2025 wapo bize na CCM mbele kwa mbele.

Jiulize ni kwa nini wafadhili huwa wapo chapu kutoa misaada katika sekta ua elimu ilhali hata huwa hawaji kuvuna wataalamu? Pamoja na sababu nyingine, lakini wanataka Watanzania wapate elimu waondoe ujinga ili wawabane viongozi wao nchi iendelee.
 
Acha uongo Ndugu, ....elimu haiwezi kamwe kuwabana viongozi hata siku Moja. Kinachoweza kufanya hivyo ni maarifa tu.
 
Kule hawana siasa kwenye maswala yanayohusu Nchi.
Tanzania siasa nyingi

Kule wamewekeza kwenye Elimu
Huku kwetu kujuana

Kule ajira ni za wazi, huku kwetu ajira ni Siri
Ila naona kufananisha Marekani na Tanzania ni vitu viwili tofauti. Labda tufananishe nchi za Kiafrika zenye unafuu ambazo hazina mnasaba wa Wazungu, japo sidhani kama zipo, mana ukizitaja Botswana na Namibia unakuta kitu fulani kutoka kwa Wazungu.

Afrika kusini mwa jangwa la sahara ni majanga
 
Acha uongo Ndugu, ....elimu haiwezi kamwe kuwabana viongozi hata siku Moja. Kinachoweza kufanya hivyo ni maarifa tu.
Hayo hayo maarifa sasa. Njia mojawapo ya kusambaza maarifa ni kupitia kwenye elimu ambapo Mtanzania atapata maarifa tangu akiwa mdogo. Kama ni uzalendo apikwe akiwa mtoto. Kama ujasiri apikwe tangu akiwa mwanafunzi ndio maana katika somo la Civics kuna maarifa mbalimbali yanayohusu serikali na siasa kwa ujumla. Kama kuhoji, basi mtoto apewe maarifa hayo tangu akiwa mtoto.
 
Unaelewa ulichoandika?
 
Tatizo ni ili upewe kazi TISS uwe mtiifu kwa CCM hamwoni kama ni usengelema huo, kazi ya TISS Tanzania ni kulinda maslai ya wanaccm na washirika wao, yan hakuna mtu wa TISS AMBAE AKAJULIKANA SIO CCM AKAPEWA KAZI... NIAMINI MIMI, MBWA WA BWANA HERI SHAMBA LA BWANA HERY NA NGOMBE MWENZIE A BWANA HERY.. NAN ATAMWAJIBISHA MWENZIE
 
Back
Top Bottom