Lawama ziende TISS?

Lawama ziende TISS?

Kule hawana siasa kwenye maswala yanayohusu Nchi.
Tanzania siasa nyingi

Kule wamewekeza kwenye Elimu
Huku kwetu kujuana

Kule ajira ni za wazi, huku kwetu ajira ni Siri

Nime note point yako. Likija suala la usalama wa nchi , america doesnt play games, no politics, wako serious kupitiliza.
From recruitment, training .. elimu na technologia.
Wamefanikiwa kutenganisha siasa kwenye usalama wa nchi. Kitu ambacho sisi tumeshindwa
 
Ongeeni yote, awamu ya sasa ina ruhusu haya yote.
Kikubwa lipa kodi (ni uzalendo), matumizi yake usiulize (uhaini)
 
Hawana lolote wale juzi kaja makamu wa raisi wa marekani wameambiwa wakae nje ya mfumo kwa siku tatu....na tulikuwa nao huko mtaani tunacheza pool table na Kubet.
Kah! Na pool table wanacheza pia??? Na kubet? Are you serious right now!!!! Chinekeeee!!!!
 
Hawana lolote wale juzi kaja makamu wa raisi wa marekani wameambiwa wakae nje ya mfumo kwa siku tatu....na tulikuwa nao huko mtaani tunacheza pool table na Kubet.
Wale jamaa wanapenda show off tu
 
Wakiajiliwa graduate wa fani ya uhasibu na uchumi watafaa zaidi kuliko hawa wataalam wa lugha na wana sociallogy.
Lijikite kwenye ulinzi uchumi zaidi kwa kufahamu biashara na impact zake kwenye uchumi.
 
Afu jamaa wadhaifu sana waonapo wanawake ( hasa wanawake weupe na wenye Matako ; utakuta jitu linaonyesha mpaka kitambulisho au binduki mwanamke aone tu...astakafiruraaa dadeki wallah)

Kwenye sherehe...ukiwaona wameenda kulia chakula kwenye gari...ujue hizo sahani na vijiko lazima wapite navyo. Daah hawa jamaa sijui Wana display nini kwenye Jamii....

Kidogokidogo Jamii itaanza kuwachukuliwa poa tu! Wao wenyewe ndo wanajishushia brand kama walivyo matrafik ( kuomba omba vibukubuku mabarabarani)
Kwamba ni wadokozi wa vifaa vya mama lishe?
 
Back
Top Bottom