Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,135
- 282,829
Wapo ila jukumu lao kuu ni kudhibiti Chadema tuKumbe hii nchi ina TISS!! Una hakika kweli?
Wapo ila jukumu lao kuu ni kudhibiti Chadema tuKumbe hii nchi ina TISS!! Una hakika kweli?
[emoji38][emoji38][emoji38]Dadavua kidogo hasara gani?
🤔🤔Kati ya kundi ambalo latakiwa liwe mbele kujua mabaya ya Taasisi ni TISS, hawa walitakiwa wawe washajua vitu, wazuie, warekebishe.
Iweje Serikali ipate hasara na shirika la kijasusi lipo?
Kama halina nguvu, liongezewe nguvu.
TISS imejaa ukada
Ikiwa hivyo Nchi haiwezi tawalika,wao wafanye kazi Yao ya counteroffensive ,mambo ya kuwatoa toa Moja kwa Moja kwenye mamlaka ya Rais ni mbaya haifai.FBI imara ndio USA imara,TISS imara ndio Tanzania imara, shirika letu hili la kijasusi kuna sehemu lilichukua wrong turn, respect waliokua nayo imepotea na sasa wanaonekana wa kawaida tu, the way forward hapa tunahitaji katiba mpya ambayo itavifanya vyombo hivi viwajibike Bungeni na sio Magogoni au Lumumba street, CEOs wake watafanyiwa usaili na bunge na President hatakua na mamlaka ya kuwasimamisha au kuwafukuza kazi bila bunge kushirikishwa, pia katiba mpya itatupa taasisi itakayokuwa ina waratibu hawa Tiss kuona wanafanya kazi zao kisheria, pia police tutapata IPID ambao ni kama MPs wa Jeshi
Kwani Watanzania wapi wenye hizo sifa? Hao Tiss wanatokea mbinguni? Mimi nawajua wengi tuu ambao ni Washenzi tuu.60% ya walioajiriwa TISS sio Wazalendo, sio Waaminifu, sio Wanyenyekevu na pia sio Watiifu.
Na ndio maana wengi wao hata tu kwa kuwatizama kwa macho ya kawaida , wanaonekana sio Mahodari, sio Majasiri, sio Mashupavu na pia sio Mashujaa.
Bure kabisa! TISS ya mchongo!!!