Law School vipi?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,131
2,000
Nipo hapa mjini Masasi najiandaa na safari ya kuelekea Mueda nchini Msumbiji, napokea ujumbe kutoka kwa rafiki yangu wa kike, ambae ni mhitimu wa shahada ya sheria. Ni hivi, mwaka jana mwezi wa nane 2016, Law School walitoa tangazo la kuwa invite applicants kujiunga na law school kwa ajili ya cohorts za mwaka 2017... Yeye alikuwa mmoja kati ya appicant.

Mpaka sasa hawajatoa majina ya selection. Leo ameona tangazo la ku invite new applications kwa cohort za mwaka 2017 ( April and August ). Sasa anajiuliza, what is going on? afanye application upya au asubiri watatoa majina ?

USHAURI WENU WADAU
 
SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,006

Kwa nini asipige simu kwanza(naamini zipo) kupata maelekezo kabla ya ku-apply upya?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom