NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,862
- 5,153
Nimekaa na wasukuma vizuri sana.Hawapendagi madharau.Wakishaona una madharau wakisema yayaaa gete get kwisha habari yako.
Huyu dogo ninamfahamu vizuri sana tulikuwa naye Marekani.Hela ya kubadili mboga kwake sio shida kama mimi na wewe.Ni hulka ya binadamu kutafuta power sababu status anayo yaani kisomo,Wealth anayo japo sio sana.Kama alishindwa kujiwekea Akiba mapema atahangaika Sana
Angekuwa na hela asingelipwa hela na kiboko ya wachawi pale Buza ili aombewe na kutoa ushuhuda fakeHuyu dogo ninamfahamu vizuri sana tulikuwa naye Marekani.Hela ya kubadili mboga kwake sio shida kama mimi na wewe.Ni hulka ya binadamu kutafuta power sababu status anayo yaani kisomo,Wealth anayo japo sio sana.
Inawezekana hakulipwa bali alianza mapema kutafta platforms za kuanza kumuweka mjini akiwa na malengo makubwa ya kuja kugombea.Angekuwa na hela asingelipwa hela na kiboko ya wachawi pale Buza ili aombewe na kutoa ushuhuda fake
Kwanini anaruhusiwa kugombea, wamkamate tu na kumfungulia kesi ya uhaini, raia tushamchoka sasa.Huyu jamaa naona siasa zishamkataa.
Wajumbe huko Nyamagana wamempa za uso.
Kama huo ulikuwa mkakati wake basi hakuwa na mkakati mzuriInawezekana hakulipwa bali alianza mapema kutafta platforms za kuanza kumuweka mjini akiwa na malengo makubwa ya kuja kugombea.
Ile ya Kiboko ya wachawi ilikua ni mkakati katika mikakati yake ili aweze kurudi barabarani.
Kuna Mbunge ametoswa na wajumbe na alikuwa MTU wa totozi plus tungiZilipendwa
Akajiajiri kama ambavyo siku zote wao husema, vijana wajiajiri.Kuna Mbunge ametoswa na wajumbe na alikuwa MTU wa totozi plus tungi
Na ana wake wawili , watoto wake kwa 80% bado tegemezi
Hana mradi wowote na ameanza kusumbuliwa na maradhi ya hela nyingi sasa nikifikiria hayo na umri wake 57 yrs simuoni akibaki salama kwakweli
Kapigwa chiniHivi Stephen masele kapita
Ova
Atarudi katika Kazi yake ya ualimu ya zamani akale hiyo laki tatu kwa mwezi baada ya makato ya mikopo mbalimbali.Akajiajiri kama ambavyo siku zote wao husema, vijana wajiajiri.
Konyaji hawezi tena, kwa sasa ni mwendo wa kisungura, highlife na vinywaji hivyo tu.Aendelee kunywa makonyagi tu
Na alipongeza mkataba wa dp world kumer tu haoKuna Mbunge ametoswa na wajumbe na alikuwa MTU wa totozi plus tungi
Na ana wake wawili , watoto wake kwa 80% bado tegemezi
Hana mradi wowote na ameanza kusumbuliwa na maradhi ya hela nyingi sasa nikifikiria hayo na umri wake 57 yrs simuoni akibaki salama kwakweli
Wanaendekeza Sana wanawake pale Dodoma na kusahau kujiwekezaKonyaji hawezi tena, kwa sasa ni mwendo wa kisungura, highlife na vinywaji hivyo tu.
Yes alipongeza na siku anapitisha mkataba alinitumia 100K mjinga mmoja yuleNa alipongeza mkataba wa dp world kumer tu hao
Huyu akamatwe tu na kushikishwa adabu kugombea ubunge wakati wananchi hawamtaki.Huyu jamaa naona siasa zishamkataa.
Wajumbe huko Nyamagana wamempa za uso.
Ni.kafulia au?Konyaji hawezi tena, kwa sasa ni mwendo wa kisungura, highlife na vinywaji hivyo tu.
Hatutaki waliookoka kwene chama chetu aende huko chama cha wali na ubwabwa.Haruhusiwi kugombea?