Irenga JF-Expert Member Joined Dec 14, 2015 Posts 3,247 Reaction score 2,482 Aug 5, 2025 #41 Dharau zinaendelew kumponza😂😂😂🫵🏽
BLUE DOG JF-Expert Member Joined Dec 10, 2016 Posts 971 Reaction score 1,547 Aug 5, 2025 #42 wanasiasa wengi ni kama wacheza kamari, wakishaingia huko hawakomi manake hela wanazopataga huko hawatumi nguvu nyingi hata Angalia mtu kama Dr Kimei , pamoja na kuiba sana crdb bado anautaka ubunge eti, anandoto za kuwa waziri wa feza
wanasiasa wengi ni kama wacheza kamari, wakishaingia huko hawakomi manake hela wanazopataga huko hawatumi nguvu nyingi hata Angalia mtu kama Dr Kimei , pamoja na kuiba sana crdb bado anautaka ubunge eti, anandoto za kuwa waziri wa feza