Ni mchekeshaji bomba but kiingilio ndio tabu hapa, labda kama wametageti group fulani la watu. Wachekeshaji wetu hapa bongo kiingilio shs. 10,000 tu! Big difference.
umesema nilichowaza, wanakuambia hakufukuzae hakuambii toka, namkubali sana huyu mdada ila hapa napiga hesabu 90thou na mamsapu another 90 na hamjala na kunywa, mambo mazuri hayahitaji haraka, nilitamani kucheka na Kansime ila inabidi nisubiri mfuko wangu ukue au wakati watakapo weka kiingilio cha uwezo wangu, kwa sasa youtube atanitoa.