johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,023
Na mimi hapa siungi mkono.Level seat itatusa sana sana sisi watumiaji wa public transport..Watuache tafadhalMambo ya kipumbavu kabisa haya... Level set halafu?
Mbongo akishamiliki kivitz chake anaona wengine ni kama hawajitambuiNa mimi hapa siungi mkono.Level seat itatusa sana sana sisi watumiaji wa public transport..Watuache tafadhal
Ngoja muachwe mfeNa mimi hapa siungi mkono.Level seat itatusa sana sana sisi watumiaji wa public transport..Watuache tafadhal
Mbona mtu anashindwa kuchimba choo nyumbani kwake na ni kwa faida yake?Kwani nyie hamuwezi kukaa level seat mkajipanga wenyewe ndani ya daladala hadi mfanyiwe press conference
Sent using Jamii Forums mobile app
Another stupid holeKwani nyie hamuwezi kukaa level seat mkajipanga wenyewe ndani ya daladala hadi mfanyiwe press conference
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa jamaa yangu haya mambo ukiyafikiria kwa undani hayana maana.Fikiria hili:Ngoja muachwe mfe
Utakuwa umepunguza risk, inawezekana ukapata kwenye daladala na kwenye shimo usipate au kinyume chakeSasa jamaa yangu haya mambo ukiyafikiria kwa undani hayana maana.Fikiria hili:
Nimepanda level seat mbagala naelekea kazini Kariakoo shimon..unakua ume solve nini?!
So the vice versa is true pia kwamba unaweza usipate kwenye daladala ukapata mihangaikonšUtakuwa umepunguza risk, inawezekana ukapata kwenye daladala na kwenye shimo usipate au kinyume chake
Kunywa beer na kitimoto bill kwanguSio tu kwa sababu ya corona, lakini level seat ni muhimu pia kwa usalama wa maisha ya watu!
Unakuta gari limejaa watu wamesokomezwa ndani kama nyumbu wanapumua juu juu!
Ni biashara gani hiyo isiyojali maisha na utu wa watu?
Inashangaza sana! Ni pesa ndiyo inayotafutwa kwa namna hiyo?
Sijui ni kwanini tu serikali inawaacha hawa!? It is very risky and dangerous!
Mijitu inabambiana tu humo, wenye pumu na nimonia nao humo humo. Tuberculosis na makorona nayo humo humo!
Ikitokea ajali ndio kabisaaa.... ni kama kiama.