Bongo simu nyepesi kufika haraka ni za Apple (iPhones) na Samsungs basi.
XL haijafika bado.
Hivi iphone 4s 8g inauzwajeBongo simu nyepesi kufika haraka ni za Apple (iPhones) na Samsungs basi.
XL haijafika bado.
Nokia XL niliiona mlimani city kama wiki mbili zilizopita, inauzwa kati ya 325k nahisi
Zipo Nokia X not Nokia XL
X ndo zipo xl bado hazijaingia hata mi nilienda kuitafuta xl sikuipata na walichoniambia ni kuwa inauzwa kwa nchi baadhi tu!
Mi niliona kabisa Nokia XL labda kama walilebo vibaya. Kwenye duka fulani limefunguliwa kama unaingia geti
linalotazamana na Shoprite, mbele ya ATM za CRDB, ukishapita duka la dawa
Wadau napenda kuwakaribisha hapa ili tuwe tunapeana updates za vitu vipya "smart phones" zinapofika hapa tz, specifications na bei yake.
Mfano
Nokia XL imeshafika bongo na kama ndio inauzwa bei gani?
aliyekwisha itumia atupe ripoti
Wadau napenda kuwakaribisha hapa ili tuwe tunapeana updates za vitu vipya "smart phones" zinapofika hapa tz, specifications na bei yake.
Mfano
Nokia XL imeshafika bongo na kama ndio inauzwa bei gani?