Latest smartphone in Tanzania

Fedora

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
233
250
Wadau napenda kuwakaribisha hapa ili tuwe tunapeana updates za vitu vipya "smart phones" zinapofika hapa TZ, specifications na bei yake.

Mfano:

Nokia XL imeshafika bongo na kama ndio inauzwa bei gani?
 

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,098
2,000
Bongo simu nyepesi kufika haraka ni za Apple (iPhones) na Samsungs basi.

XL haijafika bado.
 

dunia tunapita

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
356
195
Mi niliona kabisa Nokia XL labda kama walilebo vibaya. Kwenye duka fulani limefunguliwa kama unaingia geti linalotazamana na Shoprite, mbele ya ATM za CRDB, ukishapita duka la dawa
X ndo zipo xl bado hazijaingia hata mi nilienda kuitafuta xl sikuipata na walichoniambia ni kuwa inauzwa kwa nchi baadhi tu!
 

Brahnman

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
1,716
2,000
Mi niliona kabisa Nokia XL labda kama walilebo vibaya. Kwenye duka fulani limefunguliwa kama unaingia geti
linalotazamana na Shoprite, mbele ya ATM za CRDB, ukishapita duka la dawa

Yaweza kuwa mkuu shukran kwa taarifa,ila mi nilienda kuitafuta sikuipata ikabid ninunue x ndo nayotumia mpaka saiz.
 

Al-shabaab

JF-Expert Member
Aug 24, 2013
1,743
2,000
Wadau napenda kuwakaribisha hapa ili tuwe tunapeana updates za vitu vipya "smart phones" zinapofika hapa tz, specifications na bei yake.

Mfano
Nokia XL imeshafika bongo na kama ndio inauzwa bei gani?

aliyekwisha itumia atupe ripoti
 

mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
9,727
2,000
Bongo kama Ulaya & Marekani ,kila kitu kipo ni fweza zako tu,hata kitu kikitoka leo States sijui Japan jua kesho kipo Bongo na muda si mrefu watu wanakisahau na kudaka kipya,mfano Nokia Lumia,tayari zimeshasahauliwa na bei yako ni poa kuliko hata mamtoni
 

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,969
2,000
Wadau napenda kuwakaribisha hapa ili tuwe tunapeana updates za vitu vipya "smart phones" zinapofika hapa tz, specifications na bei yake.


Mfano
Nokia XL imeshafika bongo na kama ndio inauzwa bei gani?

for your information: hakuna simu latest tz, ukisema latest duniani, siku izi limit ni mfuko wako, simu inazinduliwa leo unaipata leo, siku izi unaweza fanya pre order mapeema kabla hata simu haijatoka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom