William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Mama Migiro,
Aliondoka JKN Airport on time, wasaidizi wake walikuwa tayari wamewekwa kwenye business class kwa paper ticket ambazo zilikuwa zimetumwa in advance na UN kupitia ubalozi wetu NY,
Ndege iliondoka on time nilikuwepo Airport, na njiani ilipata matatizo ikiwa angani ikabidi irudi, na kuondoka tena kama ilivyopangwa na shirika hilo la ndege la KLM, pia katika ndege hiyo alikuwemo balozi wetu huko UN, Dr. Mahiga, aliyekuwa anarejea huko NY baada ya kuitwa ghafla na rais, na kutumwa Nairobi kwa dharura,
Ndege iliwasili NY on time saa 11.20 jioni, na mama huyu ataondoka Ny Jummatatu kurudi nyumbani, bongo kufungasha mizigo,
Hiii ndio authority truth ya safari nzima ya mama Migiro, anayesema vingine ni redio ya mbao, tunamtakia mafanikio mama Migiro na kazi yake mpya, na tutajitokeza kwa wingi kumpolkea nyumbani atakaporejea Jummanne!