Late 1990s and early 2000s club bangers

Late 1990s and early 2000s club bangers

Si useme tu Mami? Ka Weupe ka Mtoto kalitesa wengi, tangu binti akiwa Mdogo kabisa enzi za MC Hammer, baadaye akaja kuwa Mnenguaji kwa Janet Jackson na mwisho akawa JLo with a Bang!!!


Sijui kama umemtambua Jennifer Lopez hapo kwenye video ya Yo! MTV Rap.

marc-anthony-concert1-640x457.jpg


Nilikuwa napenda sana kuiangalia video ya 'If you had my love' si kwa sababu niliipenda sana hiyo ngoma, la hasha, ni kwa sababu zingine tu:A S tongue:.
 
Last edited by a moderator:
duh, ahsante fishziller.
yaani you have taken me waaaay back. i had 3 brothers walinifanya m'babe kweli.
kuna ule wimbo chorus yake inaimba "lets talk about sex babe, lets talk about you and me. lets talk about all the good things, and the bad things that make me. lets talk about.."

Naombeni SAMAHANI kwa kutoka nje ya thread kidogo ila naona nimsaidie Sister wetu King'asti kupata miziki ya enzi ya Kaka yake wakati akizirudi Break Dance:

Ollie and Jerry - There's No Stopping us



Chaka Khan na wimbo wake wa AIN'T NO BODY: Breakin' - Ain't Nobody - YouTube

Mwisho nimalizie na Band niipendayo hadi leo, SHALAMAR na hapa ni Mkongwe Jeffrey Daniel akijituma baada ya Mama Judy Watley kuwa kajifungua na Band kushindwa kufika ikiwa nzima. Baadhi ya step zake utagundua kuwa Michael Jackson alizitumia hasa kwenye wimbo wa Moon Walker ambapo Jeffrey alimpa shule Michael.



BTW: Kumbuka siku zote, kabla KC&JOJO, kulikuwa na JODECI ambao walifunga kazi kwa vibao kama CRY FOR YOU na FENNIN (feat. Roger troutman, mzee wa Computer Love).
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana Bibie.

Huo wimbo umeandika hapa unaitwa Let's talk about sex na umeimbwa na akina dada SALT N" PEPPER.



Katika wimbo huo, walitumia SAMPLE ya wimbo wa THE STAPLE SINGERS-I WILL TAKE YOU THERE: The Staple Singers - I'll Take You There (1972) - YouTube
duh, ahsante fishziller.
yaani you have taken me waaaay back. i had 3 brothers walinifanya m'babe kweli.
kuna ule wimbo chorus yake inaimba "lets talk about sex babe, lets talk about you and me. lets talk about all the good things, and the bad things that make me. lets talk about.."
 
Last edited by a moderator:
Late 90s ulikuwa teenager? Aisee...naona nimeshaanza kuzeeka sasa:A S shade:

Well, duniani hatuzeeki bwana...si kuna wazee vijana?! Hivyo unaweza kuwa mzee kijana!

Halafu kuna Bia Bia - ya Lil Jon feat. Ludacris, Too $hort, Big Kap, na Chyna White. Hii ngoma nilikuwa naitwanga sana kwenye '87 Chevy Caprice yangu - hahahaaa yeah, I used to drive a hooptie coz that's all I could afford at the time.



Moja ya ngoma za mwanzo mwanzo za crunk. Club watu walikuwa wanajitoa fahamu ikitwangwa.

Baada ya hii Lil Jon akawa mainstream!


Kweli wewe mkali..ngoma hiyo ya Bia Bia ilikuwa inamfanya mtu kama awe amepagawa kwenye dancing floor.

Pia wewe ni mkali arifu, ulikuwa una kitu ya 87 Chevy Caprice kama hii? Kuna daktari mmoja wa pale UDSM, nafikiri ni Dr. Kasoga, alikuwa na kitu kama hii, tena yenye rim za spoke..lakini naona ilimshinda matengenezo, ikiishia juu ya mawe!

images


Hakika ngoma ya Bia Bia hiyo ndiyo ilimweka Lil Jon juu. Ndiyo akatoka na ngoma zingine kama vile (of course akishirikishwa ama kushirikisha washkaji zake wa Eastside Boyz, YoungBloodz, Lil Scrappy na Trillville).

Kuna ngoma hizi hakika zilikuwa ni balaa nazo:

Damn ya YoungBloodz ft. Lil Jon

https://www.youtube.com/watch?v=CuVuKKDxATs

No Problem ya Lil Scrappy ft. Lil Jon (ingawa hii ilitoka kwenye mwaka 2004)

https://www.youtube.com/watch?v=QQzJqXVq3uI

Get some crunk in yo system ya Trillville ft. Pastor Troy (hii ilikuwa balaa mtupu)

https://www.youtube.com/watch?v=9aRm_PzMCBw

Some cut ya Trillville

https://www.youtube.com/watch?v=Kbzw-4WFrog

Still fly ya Big Tymers (unamkumbuka Mannie Fresh?)

https://www.youtube.com/watch?v=9iCd6UHR-3I

Daylight ya 8ball and MJG

https://www.youtube.com/watch?v=RDyGWQOfDYY

Diamonds & wood ya UGK

https://www.youtube.com/watch?v=uijHb5U1pD8

Get low ya Lil Jon & the East Side Boyz (hii naamini iliwahi kukupagawisha)

https://www.youtube.com/watch?v=IYH7_GzP4Tg


Throw it up ya Lil Jon & the East Side Boyz

https://www.youtube.com/watch?v=iXbvbuX6iIE

Put yo hood up ya Lil Jon and the East Side Boyz (hii ilikuwa inaleta wazimu wakati wa Boogie)

https://www.youtube.com/watch?v=kaq025i3XK8&list=AL94UKMTqg-9CYeo5WModN7Qm65fcQFVuv

Ila kwa nini umeamua kuanzia late 90s na early 2K? Turudi nyuma hadi late 80s - enzi za akina Rob Base & DJ EZ Rock, Schooly D, Redhead Kingpin, Kool G Rap, Masta Ace, n.k.

Late 80s and early 90s hapo zilikuwa enzi za mabro zangu..ingawa nilikuwa mdogo lakini kuna baadhi ya ngoma zilinibamba...ngoma kama:

Cream ya Wu Tang Clan

https://www.youtube.com/watch?v=bjZRAvsZf1g

Next episode ya Dr. Dre ft. Snoop Dogg (original ya mwaka 1993, siyo ile ya mwaka 2000)

https://www.youtube.com/watch?v=4XfGqWYMF8g
 
Last edited by a moderator:
Well, N.O.R.E was not part of the "boom of down-south hip hop music" and what not.

Dude, where did I say that N.O.RE. was part of the "boom of the down-south hip hop music"?

I just put N.O.R.E's "nothing" as one the club bangers of that era.
 
I just put N.O.R.E's "nothing" as one the club bangers of that era.
That era, which era?

It is pointless to say that the discussion is dedicated to the "era that saw the boom of the the down-south hip hop" and then punctuate it with N.O.R.E, it's just a total mess. N.O.R.E came from a completely different genre.
 
Mc hammer na u can't touch this 1990,naughty by nature na OPP in 1991,dr n dre n snoop dogg,dre's day,nutting but a g thang,snoop dogg in 1994 with what's my name,na wengine wakali kweli nimezeeka maana ni km juzi tu
 
That era, which era?

The late 1990s and early 2000s

It is pointless to say that the discussion is dedicated to the "era that saw the boom of the the down-south hip hop" and then punctuate it with N.O.R.E, it's just a total mess. N.O.R.E came from a completely different genre.

Get a grip dude.
 
Mc hammer na u can't touch this 1990,naughty by nature na OPP in 1991,dr n dre n snoop dogg,dre's day,nutting but a g thang,snoop dogg in 1994 with what's my name,na wengine wakali kweli nimezeeka maana ni km juzi tu

Naona ulikuwa mzee wa West Coast G-Funk!

Dah! Nakumbuka mabro zangu walikuwa wakipiga hiyo miziki, huku wakitinga khakis na Converse All Stars! basi wenyewe wanajiona akina Snoooop!! Ingawa hata mwenyewe nilivaa khakis na Converse hizo.....

Lakini ilipofika zamu ya wapiga kelele na midundo ya bass kutoka down-south mambo yakawa ni kupiga white tee, Air Force One, baggy jeans n.k.
 
The late 1990s and early 2000s
Oh, I thought it was the "era that saw the boom of the the down-south hip hop music," not anymore?

Now you are making better sense, the previous claims about origins of southern genres were highlighted with wrong rappers.
 
Howdy?

When I was a teenager in the late 1990s and early 2000s, I never missed boogieing down on weekends.

It was the era that saw a boom of down-south hip hop music. Damn! I had unforgettable moments in my life.

This thread is dedicated to all people who had great times in the mentioned era.

Please share your unforgettable moments and most importantly, the club bangers that made you stomp the dancing floor.

I start by this Noreaga/N.O.R.E banger "Nothin". This is a classic club banger; I would dance to this song even when I am 90 years old.

Check it via this YouTube link.

https://www.youtube.com/watch?v=sul16s0VSzs

https://www.youtube.com/watch?v=sul16s0VSzs&feature=player_detailpage



Miaka hiyo nilikuwa niashaanza kuzeeka kwa maana nilikuwa nishavuka u-teenage, ila nakumbuka kuna producer alibadili music diretion kipindi kile alikuwa anaitwa Rodney"Darkchild" Jerkins
baadhiya joints alizosababisha ni kama zifuatazo;



  • 1998: Brandy And Monica - "The Boy Is Mine"
  • 1998: Brandy - "Angel In Disguise"
  • 1998: Monica - "Angel Of Mine"
  • 1998: Whitney Houston - "It's Not Right (But It's Okay)"
  • 1998: Brandy - "What About Us?"
  • 1999: Destiny's Child - "Say My Name"
  • 2000: Toni Braxton - "He Wasn't Man Enough"
  • 2001: Michael Jackson - "You Rock My World"
  • 2002: Brandy - "What About Us?"
  • 2002: Monica - "All Eyez on Me"
Kuna ngomailikuwa na beat nzito sana ya So Plush ilikuwea inaitwa "Damn" alishirikishwa Ja Rule
Piahuyu jamaa Rodney"Darkchild" Jerkins alisababisha ngoma iliyoshika no 1 kwenye 100 bora za biliboard yaJLO "If You Had My Love" kifupi ndio ngoma iliyomweka Jlojuu mpaka kesho


Kwenye Hip Hop kulikuwa makundi makali kama The Lox(Money power respect), Outlawz, Born Thugs and Harmony ( If I could teach the world na crossroad) pia usisahau makundi maarusfu sana Lost Boyz( Renee,Me and my crazy world,Boncing na Beats from east) ,Naught By Nature (feel me flow,Jamboree,Radio ) Kuna mtu alitisha sana anaitwa Dmx kufanya album bila kumshirikisha ilikuwa hainogi enzi zile za 1999-2001


Nitarudi next time tukumbushane late 1980s na earlier 1990s

<span style="font-variant: normal"><font color="#000000"><font face="sans-serif"><font size="2" style="font-size: 9pt"><span style="font-style: normal"><span>


[video=youtube;CuBvSE_CGKwct]http://www.youtube.com/watch?v=CuBvSE_CGKwct[/video]


 
Last edited by a moderator:
Nafikiri inabidi hata wewe ukubali kuwa G-Funky Ilitawala, inatawala na itaendelea kutawala na hasa bahati yao kubwa ilikuwa kuwapata watu wanne yaani Tupac, Dr. Dre, D.O.C na Snoop na huku nyuma yao akiwa amesimama Myahudi aitwaye PIANO MAN au Scott Storch (Sijui kameishia wapi na kubuguia unga?) Ila ukweli ni kuwa Piano Man bila Dre na D.O.C si mali kitu.


Naona ulikuwa mzee wa West Coast G-Funk!

Dah! Nakumbuka mabro zangu walikuwa wakipiga hiyo miziki, huku wakitinga khakis na Converse All Stars! basi wenyewe wanajiona akina Snoooop!! Ingawa hata mwenyewe nilivaa khakis na Converse hizo.....

Lakini ilipofika zamu ya wapiga kelele na midundo ya bass kutoka down-south mambo yakawa ni kupiga white tee, Air Force One, baggy jeans n.k.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom