Lastly BROOKSIDE has no more in Tanzania 🚫

Hii habari imenifanya nifikirie kuingia kwenye sekta ya viwanda. JPM is so serious kwenye hii sera ya viwanda. Imagine stakeholders watakavyo pokea hii news. Uzalishaji na uwekezaji utaongezeka maradufu. Ngoja nikakope nifungue kiwanda na mimi .
NB: Tz ni moja ya nchi inayo ongoza kwa kuwa na ng'ombe wengi duniani na ya pili Africa. Hii kodi ni kwa imported milk and related products zote na siyo za Kenya tu. Hii hatua ni kwa maslahi mapana ya wafugajiji wadogo wadogo na taifa kwa ujumla. Kabla mtu hajatoa povu afikirie hayo.
 
The only benefit for Kenyans is that Brookside watauza hio maziwa kwa local Kenyan market thus causing an oversupply of milk leading to a reduction in price, and that will benefit the 'local mwananchi'.
Kenyatta,kumb si mzalendo
 
The only benefit for Kenyans is that Brookside watauza hio maziwa kwa local Kenyan market thus causing an oversupply of milk leading to a reduction in price, and that will benefit the 'local mwananchi'.
Brookside is already using your Taxpayer Money to feed school children with free milk. There is no benefit to mwananchi, except slavery
 
The only benefit for Kenyans is that Brookside watauza hio maziwa kwa local Kenyan market thus causing an oversupply of milk leading to a reduction in price, and that will benefit the 'local mwananchi'.
Oversupply itamaanisha reduction in production ili supply ikutane na demand (graphicaly speaking). Inorder to achieve this inputs lazima zipunguzwe e.g raw milk na ajira zikatwe ili kupunguza running costs ambayo itakua kubwa inrelation to revenue loss itakayo tokana na decline in sales kwenye soko kubwa la Tanzania. So in medium term ajira na soko la wafugaji wakenya lita suffer Magufuli effect . Trust me the negative effect of this scenario will outweight any positive impact you think will come out this.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom