Lastly BROOKSIDE has no more in Tanzania 🚫


Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
16,508
Likes
8,815
Points
280
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
16,508 8,815 280
Tanzania inferiority complex will kill you!., hakuna mahali mnaenda, SADC hamuwezani, EAC masikini wa kutupwa, mizembe, wivu, 'wakandamizi'; hakuna mtu anaye faulu kwa through chuki na wivu, ni laana tupu na umasikini ndio result., lets watch five years where Tz will be, especially life ya common mwananchi., tuko hapa sote.
Sisi ni nchi ya maziwa na asali! I assure u in 5 years to come, no Kenyan company will be able to sell dairy products to Tanzania.
 
bukoba boy

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Messages
5,266
Likes
2,936
Points
280
Age
33
bukoba boy

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2015
5,266 2,936 280
What about the spirit of jumuiya integration?
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
7,382
Likes
7,085
Points
280
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
7,382 7,085 280
The only benefit for Kenyans is that Brookside watauza hio maziwa kwa local Kenyan market thus causing an oversupply of milk leading to a reduction in price, and that will benefit the 'local mwananchi'.
Very good explanation, the same for tourism, flowers and other manufactured goods, you don't need to export them in order to increase supply for local market. Teh..teh..teh..teh.
 
Mgagaa na Upwa

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
2,734
Likes
2,729
Points
280
Mgagaa na Upwa

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2013
2,734 2,729 280
Mimi ni Mtanzania ila huu ni upuuzi sio jambo la kuchekelea kwa mwenye akili
Hii East Africa community ina maana gani kama hamuwezi integrate economically ?
Tusalimie hapo kibera
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
7,382
Likes
7,085
Points
280
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
7,382 7,085 280
ati mlikua mnasema tukimwaga nini nanyi mnamwaga nini?

Kama ndio mmeamua hivyo basi tweende kazi
Tutaheshimiana tu
Hawana ubavu hao, lazima wakae tu, si unaona jinsi wanavyoandika kwa hasira?.
 
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Messages
1,878
Likes
1,402
Points
280
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2017
1,878 1,402 280
Very good explanation, the same for tourism, flowers and other manufactured goods, you don't need to export them in order to increase supply for local market. Teh..teh..teh..teh.
Mambo ya uchumi utayaweza ndugu?
 
okaoni

okaoni

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Messages
1,353
Likes
768
Points
280
okaoni

okaoni

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2011
1,353 768 280
Bora wamezuia, Tanzania tuna mangombe mengi, mazia tunamwaga hayana wanywaji!!!!! tuna haja gani ya kutegemea madude ( so called maziwa) kutoka kwenye nchi isiyo na historia ya kuwa na ngombe nyingi kama kwetu? tutakuja kulishwa chokaa tuambiwe ni maziwa
 
okaoni

okaoni

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Messages
1,353
Likes
768
Points
280
okaoni

okaoni

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2011
1,353 768 280
Nyang'au ameandika kwa hasira kweli kweli. Fyekelea mbali.

1. Maziwa kutoka nje fyekelea mbali............FYEKELEA MBALI

2. Vifaranga vitakavyotuletea mafua na magijwa ya ndege ......FYEKELEA MBALI

3. Mbegu za G.M.O eti wanasema ni F 1 mabazo zimeharibu kabisa ekolojia yetu kwa kumaliza mbegu zetu za asili na kuleta magojwa ya mimea na kupunguza umri wa mtu kuishi .... FYEKELEA MBALI

4. Utoroshwaji na wizi wa madini yetu Tanzanite ...............FYEKELEA MBALI

5. Kunanganya wazungu kuwa mlima kilimanjaro upo kwao ...FYEKELEA MBALI

6. Kuhadaa wazungu kuwa vivutio vyote vya utalii zikiwemo mbuga zote ni zao.....FYEKELEA MBALI

7. Kwenda vijijini kuwahadaa wakulima na kununua mazao yao kwa bei rahisi na kwenda kulangua huko sudani na ethiopia...FYEKELEA MBALI

8. Kutamani ardhi yetu baada ya kwao kumilikiwa na mabepari weusi wachache......FYEKELEA MBALI
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
9,760
Likes
5,922
Points
280
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
9,760 5,922 280
Mwandishi kaandika kwa machungu na maumivu makali sana.

Jamani eh,huu ni wakati wa kila nchi kupambana na hali yake,bila kutikisa ya mwenzie.

Watu wa LMDC najua hayo maziwa hayawezi waozea,mtayanunua myakunywe mpaka yaishe.hamuwezi babaishwa na LDC customers
 
oneflash

oneflash

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2014
Messages
364
Likes
280
Points
80
oneflash

oneflash

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2014
364 280 80
Milk is food and Gvt gives daily for Millions of Taxpayer Cash..Why is kenyattas brookside being used to loot tax money? If the Gvt realy had good intentions then the state milk processor should have been the company on this tender..
With some evidence, show me where milk is given to all schools in Kenya as you claim?. First of all, such little things are being done by some counties on their budget now that devolution is on. The current budget never saw anywhere that money was set aside for milk provision.
 
oneflash

oneflash

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2014
Messages
364
Likes
280
Points
80
oneflash

oneflash

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2014
364 280 80
so when children get milk in schools that's a bad thing?o_O:rolleyes:
It would have been pathetic to hear that it's another country doing it on our behalf just because we can't afford. So long as it's our own internal arrangement, its a fast forward go!.
 
N

ndughuri msuya

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Messages
333
Likes
182
Points
60
N

ndughuri msuya

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2012
333 182 60
Mimi ni Mtanzania ila huu ni upuuzi sio jambo la kuchekelea kwa mwenye akili
Hii East Africa community ina maana gani kama hamuwezi integrate economically ?
Tanzania kwanza,huwezi jenga nchi yako na kuwatelekeza wawekezaji wako ili utegemee kila kitu kwa jirani :rolleyes:,jirani mwenyewe nyang'au
 
Saguda47

Saguda47

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Messages
5,951
Likes
6,489
Points
280
Saguda47

Saguda47

JF-Expert Member
Joined May 1, 2016
5,951 6,489 280
Its Not the work of the Government to feed you or your childeren. Taxes are for development for creation of Jobs, people should feed themselves..Unless Jubilee is now deep in communisim
hahahaaaa!! jubilee in deep communism? so sarcastic
 
Saguda47

Saguda47

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Messages
5,951
Likes
6,489
Points
280
Saguda47

Saguda47

JF-Expert Member
Joined May 1, 2016
5,951 6,489 280
"......Tulichelewa saaana! this country was supposed to be a donor country...." afande JPM, songambele kamanda Tanzania kwanza.
 
simplemind

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Messages
12,900
Likes
3,443
Points
280
simplemind

simplemind

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2009
12,900 3,443 280
In short run tutakunywa reconstituted milk hadi tutakoma.No way farmers will raise output immediately to cover shortfall.
 

Forum statistics

Threads 1,235,314
Members 474,525
Posts 29,217,809