Lastly BROOKSIDE has no more in Tanzania 🚫

Jojo123

Jojo123

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Messages
236
Likes
265
Points
80
Age
31
Jojo123

Jojo123

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2013
236 265 80
Oversupply itamaanisha reduction in production ili supply ikutane na demand (graphicaly speaking). Inorder to achieve this inputs lazima zipunguzwe e.g raw milk na ajira zikatwe ili kupunguza running costs ambayo itakua kubwa inrelation to revenue loss itakayo tokana na decline in sales kwenye soko kubwa la Tanzania. So in medium term ajira na soko la wafugaji wakenya lita suffer Magufuli effect . Trust me the negative effect of this scenario will outweight any positive impact you think will come out this.
What abt you Kenyans selling to Zambia, uganda and Rwanda!?? Tanzania is just one country we still have other country surrounding Kenya !! Why Tanzania ??
 
Mudawote

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Messages
6,164
Likes
4,642
Points
280
Mudawote

Mudawote

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2013
6,164 4,642 280
Wakenya na UhuRuto mnajua mlivyoanza. Mlinunua Tanga Fresh mkaweka stock, huku mkijua kuwa Tanga Fresh huwa ni maziwa yasiyowekea dawa zozote, yaani ni pure milk, mka kaa nayo hadi mlipoona yamekaribia kuharibika mkayatoa kuelekea sokoni, then wakenya wakanunua, kila aliyenunua akakuta yameharibika, UhuRuto na serikali yake wakasema Watanzania wanaleta vitu vilivyo expire, ikabidi Tanga fresh ipigwe marufuku, oryx ikapigwa marufuku pia, mkawahonga baadhi ya watanzania ili Tz iwe soko lenu, ila this time mmepatikana!
 
Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2018
Messages
2,688
Likes
1,490
Points
280
Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2018
2,688 1,490 280
Wakenya na UhuRuto mnajua mlivyoanza. Mlinunua Tanga Fresh mkaweka stock, huku mkijua kuwa Tanga Fresh huwa ni maziwa yasiyowekea dawa zozote, yaani ni pure milk, mka kaa nayo hadi mlipoona yamekaribia kuharibika mkayatoa kuelekea sokoni, then wakenya wakanunua, kila aliyenunua akakuta yameharibika, UhuRuto na serikali yake wakasema Watanzania wanaleta vitu vilivyo expire, ikabidi Tanga fresh ipigwe marufuku, oryx ikapigwa marufuku pia, mkawahonga baadhi ya watanzania ili Tz iwe soko lenu, ila this time mmepatikana!
Umeongea kama kondoo kumi.
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
11,978
Likes
9,956
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
11,978 9,956 280
Wakenya na UhuRuto mnajua mlivyoanza. Mlinunua Tanga Fresh mkaweka stock, huku mkijua kuwa Tanga Fresh huwa ni maziwa yasiyowekea dawa zozote, yaani ni pure milk, mka kaa nayo hadi mlipoona yamekaribia kuharibika mkayatoa kuelekea sokoni, then wakenya wakanunua, kila aliyenunua akakuta yameharibika, UhuRuto na serikali yake wakasema Watanzania wanaleta vitu vilivyo expire, ikabidi Tanga fresh ipigwe marufuku, oryx ikapigwa marufuku pia, mkawahonga baadhi ya watanzania ili Tz iwe soko lenu, ila this time mmepatikana!
Ukiandika, tulia kwanza halafu rudia kama mara tano usome ulichoandika, kihariri hadi kiwe na mantiki ndio uje uweke humu, vinginevyo utajaza server za watu bure....
 
NairobiWalker

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Messages
4,104
Likes
2,548
Points
280
NairobiWalker

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2012
4,104 2,548 280
Oversupply itamaanisha reduction in production ili supply ikutane na demand (graphicaly speaking). Inorder to achieve this inputs lazima zipunguzwe e.g raw milk na ajira zikatwe ili kupunguza running costs ambayo itakua kubwa inrelation to revenue loss itakayo tokana na decline in sales kwenye soko kubwa la Tanzania. So in medium term ajira na soko la wafugaji wakenya lita suffer Magufuli effect . Trust me the negative effect of this scenario will outweight any positive impact you think will come out this.
We have a milk market in the middle East and West Africa that we barely satisfy. You're an idiot if you think losing the Tanzanian market will affect our production.
 
N

Ngapulila

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Messages
239
Likes
98
Points
45
N

Ngapulila

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2013
239 98 45
Mimi ni Mtanzania ila huu ni upuuzi sio jambo la kuchekelea kwa mwenye akili
Hii East Africa community ina maana gani kama hamuwezi integrate economically ?
Tanzania kwanza.Kenya nao wamefanya the same kwa Lato milk from Uganda

Trump anafanya hivyo kwa Uchumi wa USA
 
Forum statistics

Threads 1,235,316
Members 474,525
Posts 29,218,240