Hili ni janga hapa yupo baba yenu mdogo ameniaga saa 07.29
................... good day bebi...........
Hapa nilipo yupo on line
Kweli ni lazima baadae tuambizane huu muda mwingine anakuwaga
akichati na akina nani wengine.
Whatsapp ni noma.
sasa kosa ninini? si anaangalia What's Up??? hahahhaaa na angekuomba ku-share your current location ingekuwaje??
chama nae anatumia whatsapp shemeji Yangu namuonaga too local.Hili ni janga hapa yupo baba yenu mdogo ameniaga saa 07.29
................... good day bebi...........
Hapa nilipo yupo on line
Kweli ni lazima baadae tuambizane huu muda mwingine anakuwaga
akichati na akina nani wengine.
Whatsapp ni noma.
Wala si majanga.tatizo tumezoea uongo sana na kutojali...