Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,777 Reaction score 42,921 Jan 31, 2014 Thread starter #21 donlucchese said: mkuu tupo kwenye ulimwengu wa Whatsapp+ ambayo ina feature ya kuhide last seen. nenda tech kule ukachukue Click to expand... Poa ngoja nifanye hivyo
donlucchese said: mkuu tupo kwenye ulimwengu wa Whatsapp+ ambayo ina feature ya kuhide last seen. nenda tech kule ukachukue Click to expand... Poa ngoja nifanye hivyo
Jamiix JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 950 Reaction score 681 Feb 1, 2014 #22 donlucchese said: mkuu tupo kwenye ulimwengu wa Whatsapp+ ambayo ina feature ya kuhide last seen. nenda tech kule ukachukue Click to expand... Hivi una amini kuna watu wanalipa 5000-15000 kuwekewa Whatsapp?, Natumai watasaidika kwa kiasi fulani
donlucchese said: mkuu tupo kwenye ulimwengu wa Whatsapp+ ambayo ina feature ya kuhide last seen. nenda tech kule ukachukue Click to expand... Hivi una amini kuna watu wanalipa 5000-15000 kuwekewa Whatsapp?, Natumai watasaidika kwa kiasi fulani
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 374,191 Reaction score 866,445 Feb 1, 2014 #23 Jamiix said: Hivi una amini kuna watu wanalipa 5000-15000 kuwekewa Whatsapp?, Natumai watasaidika kwa kiasi fulani Click to expand... mimi nshakulaga mwekundu ati bluetooth ilikuwa haifanyi kazi,nikaifanyisha
Jamiix said: Hivi una amini kuna watu wanalipa 5000-15000 kuwekewa Whatsapp?, Natumai watasaidika kwa kiasi fulani Click to expand... mimi nshakulaga mwekundu ati bluetooth ilikuwa haifanyi kazi,nikaifanyisha
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,326 Reaction score 10,651 Mar 20, 2014 #24 kilio chako kimesikika! wale wa kumendea last seen imekula kwao. dah, afadhali tutaweza kuwachunia watu flani flani.
kilio chako kimesikika! wale wa kumendea last seen imekula kwao. dah, afadhali tutaweza kuwachunia watu flani flani.
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,497 Reaction score 7,427 Mar 20, 2014 #25 Muwe mnauliza ATI