Last nite....!!!!

Last nite....!!!!

Tatizo unalo wewe unaoleta mambo yako ya ufalme wa mungu kwenye whisky za watu.

Si mambo yangu hayo, mambo ya biblia. Mimi yangu yanasema hiyo ni kazi ya mkono wa shetani, jiepusheni nayo.

Kazi kwako.
 
Si mambo yangu hayo, mambo ya biblia. Mimi yangu yanasema hiyo ni kazi ya mkono wa shetani, jiepusheni nayo.

Kazi kwako.

719120-131423966957975-Kraken_origin.png
 
uliwahi kwenye shuguli zako za kukuingizia kipato kweli?
 
nukuu quran, biblia huijui..at least katika quran you take everything at face value...ulevi is deep..more deep than you think

Ukiuelewa wewe inatosha. Does it matter to me to what depth your deceit mind may think? NO it doesn't.
 
Neno ni hili

Mhuburi 10:19

Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, na divai huyafurahisha maisha, na fedha huleta jawabu la mambo yote.
 
Back
Top Bottom