Last nite....!!!!

Last nite....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,141
haya mambo bwana. huku Jf huku vyombo
 
Attachments

  • 1430108129067.jpg
    1430108129067.jpg
    65.7 KB · Views: 1,033
uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,
husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu

Walevi hawatourithi ufalme wa Mungu - Biblia.
 
uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,
husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu

1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Grandma, unaelewa maana ya ulevi lakini?
 
Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.

Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya,
wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao,
wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema;
ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao.

Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu,
upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.

quote_icon.png
By FaizaFoxy

Binadamu wengi huwa wabishi pale wanapofanya mambo ya kihuni
 
1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

Nini tofauti ya maneno haya mawili?
 
1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Yoshua Bin Sira: 31:25 – 31, 40:20

25) Usijionyeshe kuwa hodari wa kunywa kileo (pombe), yaani mvinyo,
Imewaangamiza wengi.
26) Tanuru hujaribu kazi ya mhunzi, na mvinyo mioyo ya watu, katika ugomvi wa wenye kiburi.
27) Kwa wanadamu mvinyo ni kama maji ya uzima, ukinywa kwa kiasi. Je, anao uzima gani mtu asiye na mvinyo? Nayo imeumbwa ili kuwafurahisha wanadamu.
28) Mvinyo ni furaha ya moyo na changamko ya roho, ikinywewa kwa wakati wake na ya kutosha.
29) Lakini kunywa mno ni uchungu wa roho, na fedheha, na ugomvi.
30) Kileo humzidishia mpumbavu mitego ya kumletea hasara; hupunguza nguvu, na zaidi huleta jeraha.
31) Usimkaripie jirani yako kwenye karamu ya mvinyo, wala usimdhihaki anapocheka, wala usimwambie neno la shutumu, wala usimnyenye kwa kutaka alipe deni.

40:20 - Kunywa mvinyo na kuimba kunachangamsha moyo, na upendano wa rafiki hupita yote.

Isaya 5:22

Ole wao walio hodari wa kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu kuchanganya vileo.

Mithali 20:1, 23:29-32, 31:4-5,6,7

Mvinyo hudhihaki, kileo huleta ugomvi; na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima.

Ni nani apigaye Yowe? Ni nani aliaye “Ole”?
Ni nani mwenye ugomvi? Ni nani mwenye mguno?
Ni nani aliye na jeraha zisizo na sababu?
Ni nani aliye na macho mekundu?

Ni wale wakaao sana kwenye mvinyo, waendao kutafuta divai iliyochanganyika.

Usiitazame mvinyo (pombe) iwapo ni nyekundu, iitiapo bilauri rangi yake, ishukapo taratibu;

Mwisho wake huuma kama nyoka, huchoma kama ----.

Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme…
Wala haifai wakuu waseme “Ki wapi kileo?”

Wasije wakanywa na kuisahau sheria, na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.

Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea, kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.

Anywe akasahau umaskini wake, asiikumbuke tena taabu yake.

Waamuzi 9:13

Huo mzabibu nao ukaiambia, ‘Je, niiache divai yangu, ambayo humfurahisha Mungu na wanadamu, ili niende nikayongeyonge juu ya miti?

Zaburi 104:15

Na divai imfurahishe mtu moyo wake; aung’aze uso wake kwa mafuta, na mkate umburudishe mtu roho yake.

Mhuburi 10:19

Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, na divai huyafurahisha maisha, na fedha huleta jawabu la mambo yote.

----------------------
 
Mithali 16:25 Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu; Lakini mwisho wake ni njia za mauti.
 
Wewe amini njia uipendayo wacha na sisi tuiamini njia tuipendayo. Sisi tumechaguwa ya Mwenyeezi Mungu.

Una tatizo lingine?

Tatizo unalo wewe unaoleta mambo yako ya ufalme wa mungu kwenye whisky za watu.
 
Methali 29:1 Anayeonywa mara nyingi akawa mkaidi,ataangamia ghafla asipone tena.(BIBLIA HABARI NJEMA).
 
1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

Nimeamini Biblia ndio Neno la Mungu.
Mpaka wapagani wanaitumia kwa nukuu.
 
Back
Top Bottom