Last nite was awesome....!!!?

Last nite was awesome....!!!?

MSHANA YALE MAJAMAA YANAYOKAMATA WALEVI WA MCHANA YATAKUIBUKIA OHOOO
8cfffd5666d6b952acd39a787ba1aa39.jpg

Hahaha, unless ni muajiriwa wa MODANS
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nina leseni ya ulevi daraja A. ..yani naruhusiwa kunywa chochote popote na muda wowote[emoji106]ni leseni kwa watu maalum tuu
86ff3149e7e5367648aee76f657eb4f7.jpg

Kama ni leseni ya udereva ni international [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom