Last night....!!!!

Last night....!!!!

Whiskey ni pombe kali inayotokana na distillation ya pombe iliyotengenezwa kwa kuvundika malt, inahifadhiwa kwenye mapipa ya miti kama oak ili kupata ladha ya hiyo whiskey kama miaka 5 na kuendelea.
Brandy inatokana na distillation ya mvinyo (wine)
Gin ni pombe kali inayotokana na distillation ya pombe mbali mbali na ina muonekano kama maji. Whiskey na Brandy zina rangi ya brown
Cognag ni aina ya Brandy inayotengenezwa katika majimbo mbali mbali nchini Ufaransa. Kama ilivvyo Champagne ni aina ya mvinyo uliojazwa hewa juvu na kutengenezwa katika jimbo la Champagne nchini Ufaransa. Ikitengenezwa nchi nyingine pombe hii inaitwa Sparkling wine.
 
Daaaah mkuu umechambua kama mzee fulani hua ni mc
 
So ile anayopiga picha nayo chibudi chibude official belaire inakaa wapi ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom