Last month

Last month

Jizzy1

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
462
Reaction score
128
BUJIBUJI: Jizzy1 vipi shwari? Hatuonani mzee vp mishe?

Mnatunyima nini juzi nimekuona kwa mbali shavu dodo full kipupwe, sie tupo bhana shida tu, halafu misiba mingi, shem wako Mamdenyi kajifungua ghafla sasa kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo itatoka next week hapa nimekwama, naweza pata ka laki ka karibu hapo ntarudisha mwisho wa mwezi.

Heshima kwako mkuu Bujibuji
Hiyo ilikuwa last month hadi leo 4th oct hujarudisha kilo yangu, Fanya unitumie jion mkuu, wife wangu kajifungua ghafla pia

Cc. Mr Rocky, mimi49, Kongosho
 
Mmmh!
Haya Braza Buji graundi lako!
Mi nijielekeze zangu masaji rum kutomaswa.
 
Msamehe tu...kwani kilo kitu gani bana?? Kwani kwa kidumu unapeleka bei gani kaka...???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom