Tofaut ya Ukopaji Mzungu na Mswahili.

Tofaut ya Ukopaji Mzungu na Mswahili.

Snipper

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1,339
Reaction score
2,179
Mzungu: Hi bro, I need $100, wil pay u back on Monday. Mswahil: Kaka vp, shwari? Dah hatuonani mzee, vp mishe, mnatunyima nn, juz nimekuona kwa mbali shavu dodo full kipupwe, sie tupo bwn, shida tu, afu misiba mingi tu,wife nae kajifungua ghafla, sasa kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa nimekwama, naweza pata ka laki ka karbu hapo ntarudisha mwsho wa mwezi...
 
wabongo usipime bwana...eti shavu dodo! kiboko zaidi ni hilo a wife kujifungua ghafla! sijui i mimba yenye umri wa wiki tatu?
 
hadithi ndefu madai yake anakupamba kwanza ........loh wabongo maneno hayatuishi na ngoja hiyo mwisho wa mwezi hapatikaniki hewani ukiuliza utasikia simu niliibiwa yani duh bora lawama lakini usimkopeshe mtu.
 
Kwa sasa mimi nimeamua heri kukosana na mtu kwa kutomkopesha kuliko ule ugomvi wa kumdai, potelea mbali kama na mimi shida inikute.
yani ndo hivyo.......mimi uwa nawaambia kwa sasa siko fresh kifedha au nampa amount ndogo najua hata asiporudisha sawa tu.
 
Mzungu: Hi bro, I need $100, wil pay u back on Monday. Mswahil: Kaka vp, shwari? Dah hatuonani mzee, vp mishe, mnatunyima nn, juz nimekuona kwa mbali shavu dodo full kipupwe, sie tupo bwn, shida tu, afu misiba mingi tu,wife nae kajifungua ghafla, sasa kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa nimekwama, naweza pata ka laki ka karbu hapo ntarudisha mwsho wa mwezi...
very,very, true!
 
very,very, true!
ofcoz, yaani sisi wabongo kiboko! ole wako ujilogekumkopesha utajuta mwenyewe maana utapigwa kalenda na chenga mpaka uchanganyikiwe!
 
Waswahili noma sna wanajua kula 2!kulipa inakuwa tanga duuh'

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hela yako lakini utaifwatilia mpaka uchoke unaamua kusamehe tu.
Kuna mtu alikaa na hela yangu muda mrefu mpaka akasahau kuwa namdai akaja tena na swaga kibao nikamwambia nina balance ya kunifanya nisurvive kwa siku chache akasema nimpe hiyohiyo mi nibaki bila kitu alo nilimpotezea kabisa hata sina mpango naye,inauma alikopa kwa mbwembwe nyingi.
 
ndo mana wazee wetu walisema '' KUKOPA HARUSI KULIPA MATANGA'' waliona mbali sana......
 
sas hivi nmekuwa mchungu na hela zangu kwa sababu mara kadhaa nimezulumiwa then hatari zaidi nilimkopesha dada nikawa namdai baadaye akanichenjia kuwa huwa namtongoza ni dada ambaye nilikuwa namheshimu sana na alikuwa ktk hard situation,staki kusikia kitu kukopa,labda ndugu wa familia na washikaji zangu ambao hata tukizulumiana maisha yanaenda yaani wale tunaoshare shida na raha
 
Yaani tena wabongo sisi watu waajabu sana, Mtu anakununia kabisa kisa eti umemkumbushia deni lako.Mbaya zaidi awe ndugu yako sasa ndiyo utakoma.
 
Bora huyo kasema mkewe anajifungua wengine utasikia ooh nanyanyswa na ndugu hawanipi hela chumvi kibao hapana chezea bongo land

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bora huyo kasema mkewe anajifungua wengine utasikia ooh nanyanyswa na ndugu hawanipi hela chumvi kibao hapana chezea bongo land

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

bora angesema km ulivyosema, “mkewe kajifungua”, inaniua hiyo aliyosema “mkewe kajifungua ghafla”. hii ndio bongo ya bongoland, hahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom