Tofaut ya Ukopaji Mzungu na Mswahili.
Mzungu: Hi bro, I need $100, wil pay u back on Monday.
Mswahil: Kaka vp, shwari,vp mishe, mnatunyima nn,shavu dodo full kipupwe, sie tupo bwn, shida tu, afu misiba mingi tu,wife nae kajifungua ghafla, sasa kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa nimekwama, naweza pata ka laki ka karbu hapo ntarudisha mwsho wa mwezi...
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums