Duh: Tofauti ya Ukopaji wa Mzungu na Mswahili

Duh: Tofauti ya Ukopaji wa Mzungu na Mswahili

ludoking

Senior Member
Joined
Oct 5, 2008
Posts
124
Reaction score
71
Tofaut ya Ukopaji Mzungu na Mswahili.

Mzungu: Hi bro, I need $100, wil pay u back on Monday.

Mswahil:
Kaka vp, shwari? Dah hatuonani mzee, vp mishe, mnatunyima nn, juz nimekuona kwa mbali shavu dodo full kipupwe, sie tupo bwna, shida tu, afu misiba mingi tu,wife nae kajifungua ghafla, sasa kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa nimekwama, naweza pata ka laki ka karibu hapo ntarudisha mwsho wa mwezi...
 
hapo kwa mswahili mpaka uje kuipata iyo hela yako utakuta umeshatumia kama katwenty
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom