Last Minute Lounge Ya Irene Uwoya, Sinza Mori.

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
21,684
2,000
Wana JF Umofia kwenu usiku wangu wa kuamkia tarehe hii 22/02/2019, Nimeutumia hapa Last Minute Lounge iliyopo sinza mori mbele ya La Chaaz njia ya kuelekea Wanyama Hotel.

Hakika ni usiku mzuri na wakupendeza kwenye hii siku maalumu ya ufunguzi wa pub ya dada yeru Irene Uwoya;
- Full of enjoyment
- music mzuri chini ya djommycrazy
- watu wastaarabu sio wahuni.
And alot of enjoyments, kama upo au ulikuwepo mahali hapa share feelings zako.

Mia
 
Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
21,684
2,000
Hilo jina 'last minute lounge' ni last minute kabla ya kufanya nini au tukio gani kwa anayekwenda hapo? Halafu maana ya lounge ni chumba cha ku-relax au kusubiria, mfano, airport. Sasa hiyo relax ya last minute au subiria ya last minute ni ya nini?
Sina ufafanuzi wowote dhidi ya maana ya hilo neno.
 
WA MAMNDENII

JF-Expert Member
Jun 5, 2010
323
225
Wana JF Umofia kwenu usiku wangu wa kuamkia tarehe hii 22/02/2019, Nimeutumia hapa Last Minute Lounge iliyopo sinza mori mbele ya La Chaaz njia ya kuelekea Wanyama Hotel.

Hakika ni usiku mzuri na wakupendeza kwenye hii siku maalumu ya ufunguzi wa pub ya dada yeru Irene Uwoya;
- Full of enjoyment
- music mzuri chini ya djommycrazy
- watu wastaarabu sio wahuni.
And alot of enjoyments, kama upo au ulikuwepo mahali hapa share feelings zako.

Mia
Tangazo limesomeka
 
Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
7,887
2,000
Hilo jina 'last minute lounge' ni last minute kabla ya kufanya nini au tukio gani kwa anayekwenda hapo? Halafu maana ya lounge ni chumba cha ku-relax au kusubiria, mfano, airport. Sasa hiyo relax ya last minute au subiria ya last minute ni ya nini?
Watu wanajiandikia tu, pub, lounge, grocery, bar bila kujua maana yake
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,167
2,000
Hilo jina 'last minute lounge' ni last minute kabla ya kufanya nini au tukio gani kwa anayekwenda hapo? Halafu maana ya lounge ni chumba cha ku-relax au kusubiria, mfano, airport. Sasa hiyo relax ya last minute au subiria ya last minute ni ya nini?
Unga tu dots mkuu utapata majibu,
Ukishamaliza bia zako pale dakika zako za kukaa pale zikiisha unazama Wanyama au Johannesburg Hotel ndio maana yake.
 
Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,669
2,000
Wabongo bhana, kwahiyo miswali yote hiyo ni kwamba hujaelewa au ndo unaleta wingi wa mambo
Hilo jina 'last minute lounge' ni last minute kabla ya kufanya nini au tukio gani kwa anayekwenda hapo? Halafu maana ya lounge ni chumba cha ku-relax au kusubiria, mfano, airport. Sasa hiyo relax ya last minute au subiria ya last minute ni ya nini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom