Last minute lounge ya Irene Uwoya, Sinza Mori

Hilo jina 'last minute lounge' ni last minute kabla ya kufanya nini au tukio gani kwa anayekwenda hapo? Halafu maana ya lounge ni chumba cha ku-relax au kusubiria, mfano, airport. Sasa hiyo relax ya last minute au subiria ya last minute ni ya nini?
Last minute before......hujazima.
 
Wa kawaida ukimfananisha na nani mkuu?
Cheki ule mguu bob!
Amezaa lakini chuchu saa 5 na nusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa jana alikuwa amelewa, Mimi nilkuwa nimekaaa karibu na mlango wa kuingia ndani kwenye lounge sasa yeye akawa anaongea na mashosti wake karibu yangu. Pale maongezi yaliponoga kabla wowowo lake likanigusa aiseeee kama nilipigwa shot, nilistuka hadi akajua akaniambia sorry dia... Wakati huo mie natamani aendeleee kunigusisha
 
Hapo mkuu unaweza pata kesi ya ubakaji bure..
Maana lile wowowo likuguse live ni hatari fire

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana JF Umofia kwenu usiku wangu wa kuamkia tarehe hii 22/02/2019, Nimeutumia hapa Last Minute Lounge iliyopo sinza mori mbele ya La Chaaz njia ya kuelekea Wanyama Hotel.

Hakika ni usiku mzuri na wakupendeza kwenye hii siku maalumu ya ufunguzi wa pub ya dada yeru Irene Uwoya;
- Full of enjoyment
- music mzuri chini ya djommycrazy
- watu wastaarabu sio wahuni.
And alot of enjoyments, kama upo au ulikuwepo mahali hapa share feelings zako.

Mia
Wadangaji wastaarab wapo? Tuje kujibebea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaa jana alikuwa amelewa, Mimi nilkuwa nimekaaa karibu na mlango wa kuingia ndani kwenye lounge sasa yeye akawa anaongea na mashosti wake karibu yangu. Pale maongezi yaliponoga kabla wowowo lake likanigusa aiseeee kama nilipigwa shot, nilistuka hadi akajua akaniambia sorry dia... Wakati huo mie natamani aendeleee kunigusisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom