Afyayaakili
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 936
- 1,302
Kuna sehemu nimepitia uzi wa zamani nikatokea kumkumbuka tuu, amepotelea wapi au kabadili ID. Nimemiss mastory yake
[emoji15] [emoji15]Ukiona haonekani basi kashavuta
Ukiona haonekani basi kashavuta
[/QUOTE
😳😳😳 Doh
@Lara1Kuna sehemu nimepitia uzi wa zamani nikatokea kumkumbuka tuu, amepotelea wapi au kabadili ID. Nimemiss mastory yake
Atakuwa kabadili ID kwaajili ya kutafuta mchumba....you never know!Kuna sehemu nimepitia uzi wa zamani nikatokea kumkumbuka tuu, amepotelea wapi au kabadili ID. Nimemiss mastory yake