Jamani ukweli lazima usemwe, katika akina dada wa humu FJ,
lara 1 anatisha.
Nina muda mrefu nikiwa naingia JF kama guest, lakini recently nimeamua kujiunga na JF. Kwa muda wote, katika comments za akina dada wa humu JF, i have never seen the greatest and challenging one like
lara 1.
Kwa heshima na taadhima, nakuomba popote ulipo
lara 1, njoo. Mimi ni mwanaume, nachohitaji toka kwako ni moja tuu, to see your real
lara 1, naomba unikubalie ombi langu, just having lunch or dinner with you, then its over. I give you credit for the kind of comments you make, you are fantastic, upstairs zimo, mwanamke focused aiseeeee, sijapata ona. Kama uko na Mr. wako pia njoni wote, nijifunze siri ya ujasiri wako huo. Wanawake wote wangekuwa kama wewe sijui ingekuwaje hapa jukwani na duniani pia.
Njoo mama
lara 1, njoo ni pm tuwasiliane.