Laptops and Mobile phones for sale

Laptops and Mobile phones for sale

kwa wanaotaka komputa karibuni uhuru computers kariakoo mtaa wa uhuru na kongo,zipo mpya/brand new na used.
bei ni kuanzia 250,000/= kwa used.na brand zinaanzia 900,000 ambazo ukienda mlimani city unapigwa 1.5m na kuendelea.
ni pm tufanye biashara
 
Duu,wee noma umeidandia thread ya mwenzako juu kwa juu,my take ungeanzisha thread yako tuu ili somo lieleweke mkuu!!!
 
laptops mpya.....del 250gb of hdd,2dg ram,hp comapaq of hdd, 250gb 2gb ram...sony vai core i3 320gb hdd,2gb ram...cal 0719373606 al are brand new.......
 
Aina ya Toshiba hakuna mkuu, bei ya hizo ulizotaja ikoje (usiambie kwa usd)
 
laptops mpya.....del 250gb of hdd,2dg ram,hp comapaq of hdd, 250gb 2gb ram...sony vai core i3 320gb hdd,2gb ram...cal 0719373606 al are brand new.......
 
A serious business person will always attach details of an item and price;ukitangaza hivix2 tis doubtful.
 
nina hp probook yenye 320gb,4gbram,core i3...pia kuna hp compaq 320gb,2gb ram,dual core....pia kuna hp compaq 250gb,2gb ram,dual core...pia kuna sony vaio core i3,320gb,2gb ram.....pia kuna del na toshiba....please piga/beep 0719373606
 
Tupige vipi? Weka bei kwanza yanini tuaribu vocha zetu kuanza kubagain wakti unaweza ukafanya humu humu?
 
Hp probook 320gb harddisk,3gb ram,core i5 procesor..hp compaq 320gb hdd,3gb ram,hp compaq 2gb ram,250gb hdd..del inspirion 250gb,2gb ram..dual core procesor..cal 0719373606
 
Photocopy machine canon inauzwa,ni used na bei n sawa na bure..cal 0719373606
 
Mkal hi ni biashara,makubaliano ndo kila ki2 bro..yan kama unaitaj simu ipo hapo mkal piga 2kubaliane,hakuna kinachoshndikana kwenye makubaliano.
 
Back
Top Bottom