laptops mpya zinauzwa....original zipo sony vaio....del...hp na sumsungs........call 0716373606
Nilipokuwa na miaka 23 ndio nilinunua simu yangu ya kwanza. Ilikuwa Siemens C35 na line ya Celtel. Kwa kuwa sikuwa na contacts nyingi wala watu wa kunipigia simu, ilikuwa inaniboa sana. Kwa kifupi nataka nikueleze jinsi inavyokera kuwa na simu halafu huna namna wala kazi ya kuitumia.
Sasa kaka hapa amegundua namna ambayo atamfanya demu wake amuone kuwa mfanyabiashara mkubwa mwenye deal nyingi za pesa. Anzeni kupiga jamani msimuangushe
nani akutwangie? weka bei, hutaki peleka kwa wakwe zako, we unafanya biashara, halafu unataka mteja atumie pesa zake kwa kukupigia wewe? kwani unauza uchawi? si uweke bei mteja akiona ni reasonable anakupigia.

Punguza munkari mkuu,na huyo naye ni binadamu!!!!nani akutwangie? weka bei, hutaki peleka kwa wakwe zako, we unafanya biashara, halafu unataka mteja atumie pesa zake kwa kukupigia wewe? kwani unauza uchawi? si uweke bei mteja akiona ni reasonable anakupigia.
Punguza munkari mkuu,na huyo naye ni binadamu!!!!