Laptop yangu aina ya DELL latitude e6320 inanipa wakati mgumu sana ninapotype document zangu!
Wakati natype, ghafla cursor inahama na kuingia ndani ya text niliyokwishaandika na kuvuruga mtiririko mzima. Hili suala linajirudia mara kwa mara na nimepelekwa kwa wataalam kila mmoja anasema lake! La msingi ni kuwa badala ya cursor kubakia mwisho wa maandishi, inahama ghafla na kuingia kati ya maandishi! Naomba msaada jamani!
Mgumiro