Laptop yangu ina matatizo ya position ya cursor

Mgumiro

New Member
Oct 10, 2008
1
0
Laptop yangu aina ya DELL latitude e6320 inanipa wakati mgumu sana ninapotype document zangu!
Wakati natype, ghafla cursor inahama na kuingia ndani ya text niliyokwishaandika na kuvuruga mtiririko mzima. Hili suala linajirudia mara kwa mara na nimepelekwa kwa wataalam kila mmoja anasema lake! La msingi ni kuwa badala ya cursor kubakia mwisho wa maandishi, inahama ghafla na kuingia kati ya maandishi! Naomba msaada jamani!
Mgumiro
 
Jaribu ku-uninstall drivers na applications za touchpad yako huku ukiwa na external mouse baada ya ku-uninstall plug external mouse uangalie kama ita-behave vipi kama itakuwa poa check na touchpad yako kwenye upande wa cable.
 
Scan computer yako ikishindikana kabisa badirisha window inaweza ikawa na virus

Mimi nimenunua DELL mpya kabisa lakini ina tatizo hilo la curser!
Labda niangalie utaratibu huo wa kubadlisha window! Hata hivyo nahofia kuwa tatizo linaweza kuwa si window maana ilibadilishwa toka ubuntu kwenda window 7 kabla sijainunua! Wataalamu ushauri wenu pls!
 
Sitakua na jibu la moja kwa moja ila naomba kujua yafuatao:-
- Ukiachilia mbali suala la cursor kuhama wakati wa kuandika, ina matatizo mengine (Kuwa taratibu, ku hang)
- Inatumia operating sysyem (Windows) gani?
- Laptop yako ina pointing stick?


Pointing+stick+or+Trackpoint.JPG


unaweza kujaribu ku disable pointing stick kwa kufuata maelekezo yafuatayo.



To do that, Go to control panel, change the view to small icons, and double click on Mouse to launch mouse properties window or you can simply type Mouse in the windows 7 search bar and select mouse in the results.



In the mouse properties window, Click on Dell touch pad tab to launch the application. Once the application launched Click on Device select, In the device select windows click to disable Pointing stickand pointing stick buttons. or you can select disable touch pad/pointing stick when a usb mouse is present if you are using an external mouse.




Click apply, Ok. That's it. You're done. You disabled pointing stick and The cursor will not jump unexpectedly..

Naomba ukiweza unipatie hizo details, all the best.
 
mkuu jaribu kubadili adaptor yako,coz mara nyingi hilo tatizo huwa linasababishwa na kuzidi kwa umeme kwenye pc coz kila adaptor ina voltage zake ambazo pc need ko ikizidi huwa inatokea hivyo cursor haitulii na inaboa kweli,nilisolve kupitia hv jaribu inaweza ikafanya kazi
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom