Maho gel
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 308
- 99
Jamani m ni mwanafunzi udsm tatizo ni kwamba nina softcopy nying na hela nliyonay ni 300000 , hivo siwez pata laptop mpya nzri so kawa mtu anayejua sehemu ambay wanaokopokesh, au sehem ambayo naweza kulipa kidogo kidogo ili nipate mpya na siyo used jamani. NA MWENYE USHAURI JUUU YA HILO NO ,0719136187,0766633753. nipo dar mliman chuo.