Tembea na mtumba wa aina hiyo hapo kwa Mkwawa wala usiumize kichwa.Wakuu nawasalimia kwa jina la Yesu
Wale wenzetu waislamu salaam aayqum.
Wakuu ivi kwa mtu anayesomea Bachelor of Science in Business Information Technology anafaa awe na PC gani?
Budget yangu ni 400,000/= je naweza kupata inayoendana na kozi yangu hiyo?
Naombeni ushauri.
Soma comment ya Chief-Mkwawa ukielewa hapo basi umenielewa mimi lasivyo tutaangalia mbadalasijakuelewa mkuu
aaah. sawa mkuu..Soma comment ya Chief-Mkwawa ukielewa hapo basi umenielewa mimi lasivyo tutaangalia mbadala
Vipi zile za alixpress wanazouza 300's?Kwa laki 4 hapo ni mtumba tu, huna ujanja.
Angalau upate Intel Gen ya 4, i5 4200m ama i5 4300M.
3rd gen laki 6?Mtafute huyu jamaa hutokosa PC...
Ongea nae ni kijana mwenzio ni mwanafunzi mwenzio una weza kutana na fursa ya kufanya nae biashara...
Kuwa huru kuongea nae
View attachment 1871704
View attachment 1871705
View attachment 1871706
View attachment 1871707
asante mkuu.. hapo umetisha..Mtafute huyu jamaa hutokosa PC...
Ongea nae ni kijana mwenzio ni mwanafunzi mwenzio una weza kutana na fursa ya kufanya nae biashara...
Kuwa huru kuongea nae
View attachment 1871704
View attachment 1871705
View attachment 1871706
View attachment 1871707
Aliexpress si soko zuri kununulia laptop, laptop brand kubwa zote ni Either wa marekani ama Taiwan, na Kidogo Mchina lenovo, huyu nae pia si sana kwao China.Vipi zile za alixpress wanazouza 300's?
📌Kwa laki 4 hapo ni mtumba tu, huna ujanja.
Angalau upate Intel Gen ya 4, i5 4200m ama i5 4300M.
Unahitaji muongozo mzuri kuhusu hilo maana haya uliotaja ni too general kwani unataka usome tu wewe kama wewe au unataka usome ili uende chuo ukiwa unajua baadhi ya vitu?aaah. sawa mkuu..
halaf kingine... iv short course ya data and programming inawezakana niisome ndani ya miezi miwili hii kabla sijaingia chuoni mwezi wa kumi??
na vip .. gharama yake inaweza kuwa shingapi kwa mfano, mimi ni mkaazi wa hapa dareselam..
mkuu inakuwa ivii..Unahitaji muongozo mzuri kuhusu hilo maana haya uliotaja ni too general kwani unataka usome tu wewe kama wewe au unataka usome ili uende chuo ukiwa unajua baadhi ya vitu?
Kama ni option ya pili lazima ujue course structure ya fani katika chuo hicho kama ni option ya kwanza hapo lazjma ujue unavhotaka kusoma kwenye hiyo data na programming Mfano kwenye data Kuna normal data na complex yaami structured na non structured data kwa lugha raisi ni aina gani ya data course unataka au hizi za kawaida zisizohusjaha programing Kama spreadsheet ? Au Artificial intelligence na machine learning?.
Mimi nachoshauri kwa kuwa huna msingi wowote wa computer nenda first semester hapi ndo utaelewa nini unataka otherwise computer architecture iwe inaeleweka kwa saaa
Ulimuuliza chochote kuhusu data na programming akassmaje?mkuu inakuwa ivii..
kozi niliyojaza mimi ni bachelor of science in information technology pale udzm.. lakini unluckly enough sina basic foundation yoyote ya it.. yaani computer in general.
Ndo nimeona niulize ni sehemu gani naweza kusomasoma ili niweze kujua hata baadhi ya vitu.. mdau mmoja akajitokeza akaniambia et nisome data na programming.. ndo kama ivoo yaani..
kao kama wewe nawe unaweza kunilisha madini kuhusu hilo nitashukuru sana mkuu.. karibu
Kwa sasa sioni umuhimu wa kutafuta hizo elimu, wewe Subiri uende chuo semester ya kwanza ukiwa makini utaweza make choice nzuri tu na utakuwa na uelewa sasa hivi utakuwa unataguta ujuaji tu ambao utakufelisha au kukupa matokeo yasiyopendeza.amna mkuu.. sikumuuliza deeply..
kama kuna ushauri juu ya hil naomba mkuu..
naomba mwanga kakaangu
Vipi mkuu?3rd gen laki 6?
Laki 6 mkuu mtumba Unapata gen ya 6 ama ya 7, ghali sana kununua gen ya 3 kwa laki 6, ndio maana unapewa begi, mouse, protector na vitu vyengine bure.Vipi mkuu?