Ninaomba ushauri ni nunue laptop ya aina gani?

last king of uscoch

JF-Expert Member
Mar 21, 2015
2,700
3,925
Habarini wakuu!

Nahitahi kununua laptop kwa ajili ya matumizi mbali mbali ,Mimi ni mgeni kwenye masuala ya PC.

Nahitaji kujua niangalie vigezo gani? Brand ipi ni nzuri katika matumizi ya hapa na pale. Na je nikihitaji ya mtumba nitainunua kwa bei gani na ipi? Na kama ni mpya ni ipi?

Bajeti yangu ni 600k.

Nawasilisha
 
Habarini wakuu!
Nahitahi kununua laptop kwa ajili ya matumizi mbali mbali ,Mimi ni mgeni kwenye masuala ya PC ,

Nahitaji kujua niangalie vigezo gani? Brand ipi ni nzuri katika matumizi ya hapa na pale. Na je nikihitaji ya mtumba nitainunua kwa bei gani na ipi? Na kama ni mpya ni ipi?

Bajeti yangu ni 600k
Nawasilisha
 
Kwa hiyo pesa nakushauli ununue Hp slim ni nzuri sana pia button zake zinawaka kwa bei uliyoweka hapo itakidhi mahitaji yako kabisa...View attachment 1862850
laptop_centre_tanzania_20210722_013338.jpg
View attachment 1862851
 
Bei ya vitu sasa hivi imepanda kidogo hasa laptop due to pandemic ,

Laptop zote mtumba na mpya ni nzuri kuharibika inategemea na utunzaji wa mtu na namna anavyoifanyia services cha msingi ni kuangalia ambayo ni latest tu yenye hali nzuri

Sasa vitu vya kuzingatia ni performance nzuri inabidi iwe atleast Core i5 kwanzia 6th Generation, RAM iwe atleast 4 na storage yake iwe ya mfumo mpya SSD atleast 256 GB au 512GB ndio zenye kasi zaidi usininue laptop sasa hv inayotumia HDD

Zenye specifications hizo kwa mpya bei inaweza anzia 1.8M ila kwa mtumba inaweza anzia 850K Brand HP , Dell and Lenovo
 
Habarini wakuu!
Nahitahi kununua laptop kwa ajili ya matumizi mbali mbali ,Mimi ni mgeni kwenye masuala ya PC ,

Nahitaji kujua niangalie vigezo gani? Brand ipi ni nzuri katika matumizi ya hapa na pale. Na je nikihitaji ya mtumba nitainunua kwa bei gani na ipi? Na kama ni mpya ni ipi?

Bajeti yangu ni 600k
Nawasilisha
Kabla ya kukushauri chochote inabidi uwangalie vitu utakavyotaka kutumia kwenye laptop yako na uviweka hapa kisha itakuwa vizuri kukushauri kunauwezekano hiyo pesa ikawa ndogo au kubwa kwa laptop unayotaka kununua pia unaweza kununua ya dukani au mtumba hapo kuna kipengere chake dukani kuna za kichina processor on board hii nikanyanga zipo nyingi sana pia mtumba unaweza ukainunua leo kesho ikawa maiti kutokana kazi yako unayotaka kuitumia.
 
Bei ya vitu sasa hivi imepanda kidogo hasa laptop due to pandemic ,

Laptop zote mtumba na mpya ni nzuri kuharibika inategemea na utunzaji wa mtu na namna anavyoifanyia services cha msingi ni kuangalia ambayo ni latest tu yenye hali nzuri

Sasa vitu vya kuzingatia ni performance nzuri inabidi iwe atleast Core i5 kwanzia 6th Generation, RAM iwe atleast 4 na storage yake iwe ya mfumo mpya SSD atleast 256 GB au 512GB ndio zenye kasi zaidi usininue laptop sasa hv inayotumia HDD

Zenye specifications hizo kwa mpya bei inaweza anzia 1.8M ila kwa mtumba inaweza anzia 850K Brand HP , Dell and Lenovo
Alivyoweka bajet yake haukuiona mkuu!!
 
Sasa unaposema hdd hapo sijakuelewa
 
I second this kwa laki 6 go for 6th gen ama 7th gen.

i5 6200u
i5 6300u
i5 7200u
i5 7300u etc.

Kwa laki 6 unazipata used.

Mfano nii 550k negotiate hadi 500k

Hio laki inayobakia waweza upgrade ram hadi 8GB na ongeza hela kidogo nunua ssd.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom