Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 476
- 1,060
Fanya maulizo ujue kwanza ni Auto CAD ipi inatumika chuoni, kwa miaka mingi wamekuwa wanatumia CAD ya mwaka 2007 ambayo ina run vizuri hata kwa Core2DuoSasa mimi naenda kuanza Bachelor of Mechanical Engineering mwaka huu ninahitaji msaada kujua laptop ipi inafaa. Software zinazotumika kwenye kozi nasikia ni CAD, baada ya kufuatilia
I guess nisingeandika kuwa nahitaji laptop kwa ajili ya matumizi ya chuo. Actually hata bila kwenda chuo bado nahitaji laptop kwa ajili yangu binafsi, na kama nahitaji laptop maana yake inabidi ifit kwa matumizi yangu ya nyumbani na chuoni pia. Najua sio lazima kuwa na laptop chuoSio lazima hata ununue PC. MUST sio Harvard bro.
Hicho ni kimuhemuhe tu cha u-first year, ila moyo wa kusoma unaishaga chap. Computer mnaenda kujaza movie tu na magemu.
Nisionekane mbaya sana, nunua PC yenye 8GB RAM minimum na processor ya clock speed kubwa kubwa(2.0GHz+).
Vingine utaongezea huko kama ni SSD au nini. Halafu ni vizuri kama itasupport CUDA(hapo itakuwa ghali kidogo kwasababu ya GPU labda upate used).
Hapa itakuwa ngumu kujua, labda niende chuo bila laptop first semester then nifanye research ndio nifanye maamuzi. MaybeFanya maulizo ujue kwanza ni Auto CAD ipi inatumika chuoni, kwa miaka mingi wamekuwa wanatumia CAD ya mwaka 2007 ambayo ina run vizuri hata kwa Core2Duo
Ryzen 5500U ama ndugu zake kwenye same generation ni solid cpu kwa laptop za bei ya Chini, ina core za kutosha kwa heavy cpu tasks na gpu yake ya ndani Vega 7 sio mbaya sana incase unafanya partial 3d designs.Naomba msaada wa laptop nzuri kwa ajili ya masomo. Software zinazotumika kwenye kozi husika ni CAD, baada ya kufuatilia
Naomba msaada ni laptop ipi infaa kwa 800K hadi 900K mwisho
Pia kuna mwenzangu anahitaji laptop for the same use, ila yeye budget yake ni 500K maximum
Naomba msaada kujua laptop ipi inafaa kwa kwa 800- 900K na ipi inafaa kwa 500K
Chief-Mkwawa
dronedrake
Ahsante sana ChiefRyzen 5500U ama ndugu zake kwenye same generation ni solid cpu kwa laptop za bei ya Chini, ina core za kutosha kwa heavy cpu tasks na gpu yake ya ndani Vega 7 sio mbaya sana incase unafanya partial 3d designs.
Mfano kama hii
Unaweza uka nunua brand yoyote unayopenda ila iwe minimum Ryzen 5xxx na Vega ama radeon 6xx/7xx igp.
Alternative ni Intel Gen ya 11 kupanda zenye iris XE graphics ama hizi mpya za Arc.
Hizi zote price point yake ni hio around 600k used. Tumia budget iliobakia kuongeza ram kadri unavyoweza, minimum 16GB ila ideal machine ya kazi iwe zaidi ya hapo.
Pia hizi graphics za laptop ambazo hazina Vram kama Vega na iris zinakuwa na nguvu sana ukiwa na ram mbili ili ziweze kutumia dual chanell, so kama unaweka 16GB ram hakikisha zinakua ram mbili za 8GB, speed kubwa kadri utakavyoweza.
Jamaa wa 500k anaweza tafuta machine hizo hizo ila mtaani sasa, acheki fb marketplace, hizi intel 11th gen hadi chini ya laki 5 unakuta mtu anauza. Mfano kama hii
KARIBU DEAL COMPUTER AND ACCESSORIESNaomba msaada wa laptop nzuri kwa ajili ya masomo. Software zinazotumika kwenye kozi husika ni CAD, baada ya kufuatilia
Naomba msaada ni laptop ipi infaa kwa 800K hadi 900K mwisho
Pia kuna mwenzangu anahitaji laptop for the same use, ila yeye budget yake ni 500K maximum
Naomba msaada kujua laptop ipi inafaa kwa kwa 800- 900K na ipi inafaa kwa 500K
Chief-Mkwawa
dronedrake
KARIBU DEAL COMPUTER AND ACCESSORIES
COMPUTER NZURI YA BUDGET 800_900K KWA SASA NI
HP 840 G5...
830 G5../SERIES
Hizi zinakuwa ni 8th ...nxt
Processor core i5...7
Ssd 256gb...next
Ram 8gb.... Next
COMPUTER ZA BEI YA 500K ....up
Hp 820 G3...G5
Processor 6th gen
Ssd 256 gb
Ram 8 gb
Karibu kwa MAWASILIANO
ZAIDI TUPO ILALA KARUME
0682202114