Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 476
- 1,060
Naomba msaada wa laptop nzuri kwa ajili ya masomo. Software zinazotumika kwenye kozi husika ni CAD, baada ya kufuatilia
Naomba msaada ni laptop ipi infaa kwa 800K hadi 900K mwisho
Pia kuna mwenzangu anahitaji laptop for the same use, ila yeye budget yake ni 500K maximum
Naomba msaada kujua laptop ipi inafaa kwa kwa 800- 900K na ipi inafaa kwa 500K
Chief-Mkwawa
dronedrake