Heshima kwenu nyote.
Naomba msaada wenu, natumia Dell latitude E6400 na window 8.1 lkn imekua haitaki kabisa kuunganishwa internet kwa WiFi.
Mwanzoni hili tatzo halikuwepo na lilipoanza tu ikashushwa window ambayo ilikua window 8 ikawekwa 8.1 lkn ikafanya vzr kwa muda mfupi then tatizo likaendelea.
Nilifikiri kuinstall updates kungesaidia lkn bado imekuwa kizungumkuti.
Pia nikiunganisha simu kwa USB haisomi pia hiyo USB.
Lkn nikiweka flash ama external inasoma na nikiunganisha internet kwa USB tether inakubali sasa sijui tatizo ni nini, msaada wenu tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app