acha ushabiki,oh stability we dogo nani kakuambia nssf iko stable? wee nani dogo unatudanganya hapa,sustainability nssf iko wapi au unadanganywa na hawa watu,hali si shwari haaaaata kidogo,stay turnedMifuko ambayo inatambulika kimataifa na iko stable kipesa ni miwili tu ambayo namba moja ni NSSF na pili ni PPF. Advantage aliyonayo PPF zaidi ya mingine ni kuwa unapata kadi ya NHIF kwa kuchangia kuanzia sh 20000 kwa familia. ISO inaitambua NSSF na PPF so kuwa makini na faida gani unayoitaka na stability ya mfuko kabla hujaangalia ni asilimia ngapi unakwata.
Mifuko ambayo inatambulika kimataifa na iko stable kipesa ni miwili tu ambayo namba moja ni NSSF na pili ni PPF. Advantage aliyonayo PPF zaidi ya mingine ni kuwa unapata kadi ya NHIF kwa kuchangia kuanzia sh 20000 kwa familia. ISO inaitambua NSSF na PPF so kuwa makini na faida gani unayoitaka na stability ya mfuko kabla hujaangalia ni asilimia ngapi unakwata.
LAPF vip???Sikuhizi yote inasimamaiwa so mafao wanatoa kikufanana ila bado naamini NSSF is the best wakifuatiwa na PPF japo hawana mtandao mpana nchini kama NSSF ambao wapo almost kila wilaya
Hii niliwahi kuipeleka mahali nikaambiwa hiyo 5% inayoongezeka kwenye makato ya mwajiri itakatwa kwangu kufidia maana watu wote wanakatwa 10% na mwajiri 10%. Sijui lakini waajiri wengine kama wanakubali kukulipia 15% na wewe mwajiriwa uchangie 5% pekeeNSSF wanakata 10% na mwajiri 10% wakati LAPF wanakukata 5% na mwajiri 15% hiyo pekeyake tu ilinifanya nikimbie NSSF na kujiunga na LAPF kwa kuwa kila mwezi na save 5%
asante kutuelewesha kumbe uko hadi huku aiseeee hahahahahahahaaaNimeona watu wengi wanaulizia hili jambo kwa sasa. Wengi wao ni wale wana PCCB waliopo depo Morogoro kwenye mafunzo, naona mifuko hii imeenda kujipigia debe na kuwachanganya.
Binafsi nipo PSPF kwa sasa, hii ni baada ya kuajiriwa na serikali. Kabla ya hapo nilikuwa na NSSF nikiwa mwajiriwa wa taasisi binafsi. NSSF walinipa pesa nzuri (mwaka 2011) kama million 21 kwa miaka minne niliyokuwa ninafanya kazi private. Lakini pia nilikuwa nina mshahara mkubwa kwa huyo mwajiri wangu.
Nakumbuka PSPF ndio walikuwa wanatoa mafao makubwa sana, sijui shida ikaanzia wapi. Ila kwa sasa kwa uelewa wangu mdogo NSSF nahisi iko stable. Lakini bado siiamini hii mifuko. Inaweza ikapoteza pesa nyingi za wanachama kwa miradi wanayoibua kila kukicha na ufisadi mkubwa unaoambatana na hiyo miradi.
Lakini pia sioni mantiki ya nchi yetu ndogo kuwa na mifuko lukuki inayoshindana. Wangeupa kazi mfuko mmoja tu utekeleze yote yafanywayo na mifuko yote.
LAPF ni Mfuko (Fund),LAPF ni shrika zuri sana lina fursa nying sana
mh unatafta lawama wewe!ppf baba
ppf baba
Umenena vyema sana hiyo mingine hapana hasa NSSF hawafai hata kidogoMfuko wa LAPF unasimamiwa na chama cha wafanyakazi TALGWU hilo peke yake linafanyakuwa mfuko bora kwa wafanyakazi. Hiyo mingine inawenyewe.