muongozaji
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,386
- 1,003
[emoji85]
Niambie banaa
[emoji85]
Mapene kwanzaSo wanaweka mzigo mezani ndo kyupi kinavuka sio??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]UTAKAPO WASHWA MWENYEWE UTAMTAFUTA MWANAUME
Siku hizi si hamvai hayo makitu,pesa ya nini sasa?Duuu polee but Mimi unilambi iviivi ata ella ya kubadilishia kyupi usinipe nyoko? No money no love mssg sent![emoji126] [emoji108]
Basi nitafanya hivyo baby,lakini kumbuka watoto wangu ni wewe ndio utawazaa.Polee my dear ila ndo ivo tena..pesa inalipa zaidi..mapenz subiria uwape wanao kama bdo hujabarikiwa watoto..kama tayar unao give them for they need it the most.
Sawa basi,mimi nasubiri mpaka jua linazama.Polee my dear ila ndo ivo tena..pesa inalipa zaidi..mapenz subiria uwape wanao kama bdo hujabarikiwa watoto..kama tayar unao give them for they need it the most.
Bila mapene hakuna ufundi au??Mapene kwanza
Hahaha.....anza kabisa kutayarisha zizi manake punde utapokea ng'ombe za kutoshaNg'ombe ni bombaaaaa, sasa kama hauna tutapokea nini tena kiboko au hahahaaa... coin ya elfu 50 kwa wengi itaonekana ka mtu katolewa shilindi mia...so itabidi muanze kuzijaza kwa mifuko ile mikubwa mieusi(nimepatia?) Muwape muwapendao.
Sasa je?mbona umekuwa hivyo?Mapene kwanza
MPE mapene mengi uone kama ajazungusha mauno apoBila mapene hakuna ufundi au??
Pesa haina uhusiano na kuzungusha uno if ni gogo ni gogo tu but iyo avatar yako uwa naipenda [emoji7] [emoji7]MPE mapene mengi uone kama ajazungusha mauno apo
Haka kamchezo kana wenyewe[emoji126] [emoji108] [emoji102]Pesa haina uhusiano na kuzungusha uno if ni gogo ni gogo tu but iyo avatar yako uwa naipenda [emoji7] [emoji7]
Langumimi ni hili:Wadada please & please! Mkipendwa mpendeke,
Money is not a love,
Thamini Uwepo wa mwenzako,
Yaani hadi stress nani utamuoa...everygirl is an moneyfirst,moneyloving.
Where is TRUE LOVE now!
aah! the world of beast! I can't tolerate this!
Wadada mubadilike.
Langumimi ni hili:Wadada please & please! Mkipendwa mpendeke,
Money is not a love,
Thamini Uwepo wa mwenzako,
Yaani hadi stress nani utamuoa...everygirl is an moneyfirst,moneyloving.
Where is TRUE LOVE now!
aah! the world of beast! I can't tolerate this!
Wadada mubadilike.
Kamchezo ganiHaka kamchezo kana wenyewe[emoji126] [emoji108] [emoji102]
Sikale[emoji100]Kamchezo gani
Naomba niwe rafiki yako maana unajitambua sanaTeh teh teeeee mimi na wewe ni maji na mafuta. Hatutawezana kabisa ati unaonaje?
Ngoja niende snapchat nione karusha nini tena maana mie na yeye hajui tu...napanga nikutanishwe nae nimkumbatie na kumpa busu tamu la shavu. Labda leo atanisoma na kunitumia PM au akina Babu Tale na Salaam.
Siku moja nikiwa likizo Dar nitaweka kambi nje ya geti lake. Huku mkoani kwetu hajaja bado akija nitakuwa rafiki wa polisi na wakuu wote kwa sekunde moja nimfikie Simbaaaaaa